Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini hutopata Wakenya wakimshukuru Rais kwa kuwapea chapati. Watachukua, wakule alafu wamwambie aache ujinga.
Acha ujinga wewe umeona hapo Raisi anazigawa? Level of stupidity mgombea uraisi kabisa kugawa kampeni yeye.

Hapo si wanagawa machawa level ya wajumbe unajua hata wajumbe?

Tupe any info ya Tanzania Raisi na Makamu wa Raisi wanagawa chapoo Tz?
 
Sio kitu normal ndio maana ilisababisha usumbufu na ikaripotiwa na saivi hakuna haya mambo yalishadhibitiwa lakini Kunyaland mpaka expressway zinapita kama kawa
Sio kitu normal a tumeona ikifanyika more than once, tena in different years. Mkokoteni bado zinatumika bongoslum, huwezi tudanganya. Expressway hata pikipiki huwezi pata.
 
Unajua mnabishana lakini kwenye issue moja tu. Tofauti ya azam na Mo ni set up ya biashara zao. Azam anawekeza kwenye vitu vinavyomgusa Mwananchi directly . Mo ni mfanyabiashara anaangalia wapi atapata faida. The same with rostam. Anaangalia soko liko wapi. Anacheza uko. Mfano gesi. Mkonge dengu mbaazi na ufuta ambazo ndio biashara kubwa za Mo. Lakini bakharessa sukari anajenga kiwanda Tanzania kinasupply nchi zingine na ndani. Juice hivyo hivyo. Ngano. Usafirishaji media , construction. Logistics lazima zianzie Tanzania. Azam pesa. Ndio zisambae nchi zingine.
 
Utajiri unapimwa kwa asset sio mauzo , unaweza ukawa na mauzo makubwa ila mali Huna, issue ya Azam investment zake Zina value tofauti na mo ingawa mo anaweza akawa anauza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…