Kuna siku alikua anajifanya computer hacker. 🤣🤣🤣 Google on wrong hands is very dangerous.Yeye hakuna kitu hajasomea😂😂😂
Kwa Sheria ipi ambayo napaswa kuyajua mapato yake? Wewe unaweza tuletea financial statement za Metl leo tuzione tuchambueKaka umeshindwa kuleta mapato ya Bhakresa, Umeshindwa kuleta ameajiri watu wangapi? Umeshindwa kuleta Mchango wa Bhakresa kwenye Taifa la Tanzania. Sasa unabisha kitu gani?
Nimekuambia ulete Statistical Information umeshindwa. Je, kuna maana yoyote ya kuendelea kujadiliana na wewe?
Nimekupatia taarifa hizi 👇 👇 👇 👇 Wewe hujaleta taarifa tangible
View attachment 3382320
View attachment 3382321
Tayari kisu kimeingia kwenye mfupa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaanza kutukana ovyoWho told you CEO is always the owner of a company? Very foolish gay.
Ana shobo utadhani amesikia nataka shobo na magovi.Kwikwi
Kaka acha kuhamisha hamisa mada wewe leta Impact ya Bakhresa kwenye Uchumi wa Tanzania. Mbona unaleta porojo tu. MeTL is also a private Entity wameweka vitu vyao kwenye public. Bhakresa anaficha nini? KwikwikwikwikwiKwa Sheria ipi ambayo napaswa kuyajua mapato yake? Wewe unaweza tuletea financial statement za Metl leo tuzione tuchambue
Rostam ana mitaji mikubwa sana ya watu wake kutoka nje hasa Yemen.Ngoja nichangie kidogo hapa. Kiuhalisia Azam group ni kampuni kubwa kuliko Metl. The difference ni kuwa Metl imekuwa ikiendeshwa kwa mfumo wa kisasa wa corporate na ime integrate investment yake internationally kwenye mifumo ya kidunia ila Azam inaendeshwa sana sana kama a family business with minimal interactions na international funders hence mahesabu yao hayawekwi wazi kama ya Metl.
same na Rostam ana hela ndefu lakini ana kampuni gani ya ku justify utajri wake?
Rostam hana uhusiano wowote na Yemen. Mwenye uhusiano na Yemen ni ASASRostam ana mitaji mikubwa sana ya watu wake kutoka nje hasa Yemen.
Kama umesomea accounting hakuna haja ya kubishana ebu tusaidie kwa kupitia IAS 16 na IAS 13 tuachane na ubishiKaka acha kuhamisha hamisa mada wewe leta Impact ya Bakhresa kwenye Uchumi wa Tanzania. Mbona unaleta porojo tu. MeTL is also a private Entity wameweka vitu vyao kwenye public. Bhakresa anaficha nini? Kwikwikwikwikwi
Yaani tuliite kampuni la Bakhresa kuba kwa hisia tu?
Check wenzake:
Hii kitu inawauma kundustan sana
Pitia IAS 3Kaka acha kuhamisha hamisa mada wewe leta Impact ya Bakhresa kwenye Uchumi wa Tanzania. Mbona unaleta porojo tu. MeTL is also a private Entity wameweka vitu vyao kwenye public. Bhakresa anaficha nini? Kwikwikwikwikwi
Yaani tuliite kampuni la Bakhresa kuba kwa hisia tu?
Check wenzake:
Mzee achana kuhamisha mada. Tumalize kwanza ile ya kwanza. Maana unarukia rukia kila mada.Kama umesomea accounting hakuna haja ya kubishana ebu tusaidie kwa kupitia IAS 16 na IAS 13 tuachane na ubishi
Last time we did this challenge ulienda kuokota bank slip kwa muuza maandazi.Post screenshot ya bank statement yako inayoonesha Total Credit Amount.
Mimi nitapost ya two months wewe post ya mwaka mzima.
Hii dalili ya kuishiwa point. Umesaka kila kona kutafuta uwezo wa Bakhresa umekosa. Kwikwikwikwikwi.Pitia IAS 3
Jamaa hukaa fala Sana. Mara sijui amesomea political science, mara amesomea theology, mara amesomea catering etc😂Jack of all trades master of none.🤣🤣🤣
Umesema umesomea accounting nimekuelekeza sehemu ya kutukumbusha wengine ambao tumesahau . Wewe si unaijua accounting kuna guideline au standards za kureport taarifa ya za kihasibu .Mzee achana kuhamisha mada. Tumalize kwanza ile ya kwanza. Maana unarukia rukia kila mada.
Hapa tunaongelea MeTL vs Bakhresa.
Narudia tena tupatie takwimu zinazokubeba kueleza kuwa Bakhresa ni kampuni kubwa kuliko MeTL.
Wimbo wako wa Wahindi na Waarabu umekufa? KwikwikwikwikwiJamaa hukaa fala Sana. Mara sijui amesomea political science, mara amesomea theology, mara amesomea catering etc😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii dalili ya kuishiwa point. Umesaka kila kona kutafuta uwezo wa Bakhresa umekosa. Kwikwikwikwikwi.
Kaka Tanzania huijui na uwezo wako upo chini sana. Tafuta kuijua Tanzania kwanza ndio uweze kujadili mambo makubwa.
Ukiambiwa ukweli ni matusi? Wewe hakuna unachajua in this world. Who told you CEO is always the owner of a company?Tayari kisu kimeingia kwenye mfupa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaanza kutukana ovyo