Kwa hivyo if they spend few days in Kenya haifai kuhesabiwa ama?Not necessarily on transit they may spend a few days in Kenya and decide to sample other tourist attractions across the border as well. But from the oil export experience I have no doubt in my mind that the case here is repeated.
We have more sugar factories kuwaliko, so just shut up.View attachment 3382134
Yaani hii tu Bagamoyo Sugar ingekuwepo Kenya, ungesikia kelele za kutosha.
Tanzania mwaka jana tu, imeonheza viwanda viwili vya sukari, Azam Bagamoyo Sugar na Mkulazi Sugar (NSSF).
HAo waarabu na wahindi wana passport ngapi?Mnangang'ania Mali za warabu na wahindi. Hakuna Mtanzania mnaezaonyesha Mali zake?
How many of them?We have more sugar factories kuwaliko, so just shut up.
Kunyans hampendi kushindwa 🤣🤣🤣 unakula dozi kila wakati lakini bado unabisha tu.Hampendangi facts. 🤣🤣
Sijui anamzungumzia mo yupi kama ndo yule mo aliyeenda kuwekeza kakiwanda kwa UNGA la usd 500,000 songea kwa ajili ya export yaan hata grain silos kashindwa jengamo ni msanii ofcoz hana kiwanda kinachoeleweka hapa tanzania hata nje ya tanzania 😂😂😂😂
wanaulizana ile billion 20 alioahidi mpaka kesho hawazioni na sasa ni 7 yrs 😂😂😂Simba yenyewe anataka kuipora.
Kwani unataka kuwa ombaomba kule Gaza ndio uwatakie peace? Mbona usiende kuomba kule Yemen kwa akina ichoboy01 ?Mbona kule gaza hao mabwana zako hawataki peace pamoja na kuwa na mateka wao kule ila kuhusu ceasefire hawataki,kwa iran siku 12 tu wameomba ceasefire 😄
Numbers do not lie. Mkipigwa na facts munalia data ni za kupika.Kunyans hampendi kushindwa 🤣🤣🤣 unakula dozi kila wakati lakini bado unabisha tu.
Hata Suluhu alishasema Nairobi is like London to Tanzanians.Si wanakuja majuu yao. Nyerere aliwaambia kitambo sana
Hayakuhusu fanya yako na ujibu swali how comes you are lagging behind in rail development while you had a headstart of 6 yearsWe stopped to evaluate the feasibility of the project. Nyinyi mnajenga railway to Burundi which is the most poorest country in the world. How feasible is that option?
dar= 1600km sq. city areaSince tuwaambie Dar ni size ya Mombasa mko na hasira Sana siku hizi.
Ok hapo sawahujanielewa bro nimekwambia technology yote ya iran inatoka russia even technology ya china inatoka russia
habari hata mm naeza andika habari za kujisifia uongo nikawatapeli watu 😂😂😂Ukimuuliza value anaenda kuokoteza habari za mo
Wanaidharau Burundi wasijue Burundi inadhaman ya nickel na copper kuliko bajeti yao ya miaka 60Hayakuhusu fanya yako na ujibu swali how comes you are lagging behind in rail development while you had a headstart of 6 years
Thanks for accepting they are Indians and Arabs, case closed.HAo waarabu na wahindi wana passport ngapi?
More than what you have.How many of them?
na zote zimekufa sahii wana import sugar kutoka brazil alaf wana rebag wanashangilia😂How many of them?
So, what is the Brazilian sugar doing in KunyanMore than what you have.