Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Hii makupa inakaa calvert mkuu.? 👇🏾 🤣🤣Bridge ya 8 lanes unalinganisha na vitu vya kalongolongo vya 2 lanes? Akili yako inakusaidia kweli?
One of those poor qualities that still stands.Has it fallen? That bridge is older than you and any bridge in Dar is slum.
Are you serious with that question?We stopped to evaluate the feasibility of the project. Nyinyi mnajenga railway to Burundi which is the most poorest country in the world. How feasible is that option?
The African country did well with Chinese loans, you got the same amount of money but you got none to show out of it than bigger politicians bellies now they're cleaning them by building apartments, paupers you gonna pay each cent, Ethiopia got them right unlike you morons
Eti hii empty savannah ndio inaitwa metropolis 😂😂😂This aerial view will be super. In Tanzania Aerial shots will be prohibited for obvious reasons
View attachment 3381958
Kaka nimekuomba utaje investment moja kubwa ya AZAM inayomuingizia pesa. AZAM kwa METL ni mdogo mno kaka.Mo ni ownership Iko chini ya mtu mmoja, wakati Azam kagawa kwa viwanda viko chini ya watoto tofauti ambao wote wanatumia Azam kama parent company. Ila tukija kama kwa issue ya capital Azam yuko juu
Wanakuja Kenya kisa uchumi wetu mkubwa alafu tuna roho za kupeana.Halafu maajabu beggars mnaowazungumzia wapi Nairobi tu na sio drc,Zambia ,Uganda na kadhalika inaonesha kuwa ni mpango wenu
Kaka nimekuomba utaje investment moja kubwa ya AZAM inayomuingizia pesa. AZAM kwa METL ni mdogo mno kaka.
Hii ninakuambia ukweli kabisa. Umesema kaweka kwa watoto wake. Hebu taja hizo kampuni za watoto wake.
Haya maelezo mbona yanajielezaBakhressa is a group of Companies, METL too.
Bakhresa hajitangazi sana ila sisi tunaona haya sababu ya Azam mediaMETL ipo kimya kimya ndio maana huijui. Bakhressa anatangaza sana. Biashara yake ni ya kuonekana.
Ukitaka kuijua METL ingia kwenye kilimo. METL ndiye anawauzia mahindi wote wenye mashine za kusaga unga including AZAM.
Viwanda vya Azam ni vikubwa sana huwez linganisha na viwanda vya Metl we. Karibu hata kupita kiwanda Cha juice na Azam energy kalinganishe na kiwanda Cha Metl energy au nenda katafute kiwanda chochote Cha Azam halafu linganisha na Cha mo.METL wapo na mashamba ya mkonge nchi nzima.
Bakhressa kawekeza kaka kwenye retail.
Azam ana viwanda vikubwa sana kuliko hata hiyo moo.Nakuomba ufanye kwanza uchunguzi kabla ya kunijibu. Pitia Website ya kila mmoja kisha uje.
Hao ni watu wenu tu ndo maana mnashindwa watoaWanakuja Kenya kisa uchumi wetu mkubwa alafu tuna roho za kupeana.
Ngoja nikueleze kwa evidences.View attachment 3382087
Haya maelezo mbona yanajieleza
- Mohammed Dewji:
He is the owner of METL (Mohammed Enterprises Tanzania Limited), a diversified conglomerate with interests in various sectors including manufacturing, agriculture, and finance. Forbes has consistently listed him as East Africa's richest person.
- Azam:
Azam is a large Tanzanian conglomerate, but the wealth is held by the Bakhresa Group, not a single individual with a specific net worth comparable to Mohammed Dewji
Bakhresa hajitangazi sana ila sisi tunaona haya sababu ya Azam media
View attachment 3382088
Metl hana Mashamba ya mahindi hata songea kule ambapo ndo ana vimashine vya tan 100/ day ananunua mahindi kwa wakulima ( nyuma sodeco)
Viwanda vya Azam ni vikubwa sana huwez linganisha na viwanda vya Metl we. Karibu hata kupita kiwanda Cha juice na Azam energy kalinganishe na kiwanda Cha Metl energy au nenda katafute kiwanda chochote Cha Azam halafu linganisha na Cha mo.
Bagamoyo sugar kimejengwa kwa zaid 300mil usd , hicho ni kiwanda kimoja tu, vipi kuhusu viwanda vya mo? Karibu kupitia kwenye website ya bakresa group nenda kafungue Kila division utaona .
Kuna kampuni nyingine hata hazitumii nembo ya Azam kama united petroleum au union properties
Azam ana viwanda vikubwa sana kuliko hata hiyo moo.
Mfano tu Metl anapatikana katika nchi 6 wakati Azam yupo katika nchi 9View attachment 3382091
Sawa nasubiriaNgoja nikueleze kwa evidences.
Bakhresa group ni tajiri zaidi ya Mo.View attachment 3382087

Ebu taja kiwanda hata kimoja kikubwa Cha level ya Azam juice Cha Metl au chenye ukubwa sawa na bagamoyo sugar
Ukitaka kujua mziki wa Azam tembelea pale vingunguti na buguruni uone mziki wa mabehewa yanavyopakiliwa kwenda isaka na kigoma kwa ajili ya congo na rwanda.Ngoja nikueleze kwa evidences.
Mwenye hisa kubwa ni mo ila hana kiwanda chochote kikubwa size ya Azam, mifano ipo wazi tu kiwanda Cha vinywaji kisemvule versus kiwanda vinywaji Cha Metl ( hata location haijulikani)Bakhresa group ni tajiri zaidi ya Mo.
Mo Dewji anapenda umaarufu tu, ili atapeli watu.
Hata Mo Dwji ile siyo mali yake peke yake, ila ni mali ya familia, ndio maana kwenye executive familia yote ya Dewji ipo
Sound like hujui maana ya Group of Companies.Haya maelezo mbona yanajieleza
- Mohammed Dewji:
He is the owner of METL (Mohammed Enterprises Tanzania Limited), a diversified conglomerate with interests in various sectors including manufacturing, agriculture, and finance. Forbes has consistently listed him as East Africa's richest person.
- Azam:
Azam is a large Tanzanian conglomerate, but the wealth is held by the Bakhresa Group, not a single individual with a specific net worth comparable to Mohammed Dewji
Ebu taja kiwanda hata kimoja kikubwa Cha level ya Azam juice Cha Metl au chenye ukubwa sawa na bagamoyo sugar
Brother mimi huwa siongei ushabiki. Mimi naongea uhalisia based on facts. Huwa siongei hisia kaka.Ukitaka kujua mziki wa Azam tembelea pale vingunguti na buguruni uone mziki wa mabehewa yanavyopakiliwa kwenda isaka na kigoma kwa ajili ya congo na rwanda.
Hiyo turnover ipo hivyo Toka mwaka 2015Sound like hujui maana ya Group of Companies.
MeTL Group Limited
Also
Bakhresa Group
MeTL Group Limited Revenue: between US $1.5 billion and $9.4 billion annually
Source: https://www.datanyze.com/companies/metl-group/40650280
View attachment 3382094
Bakhresa Group Revenue: Around US $800 million
Source: Inside AZAM: one of Africa’s top brands
View attachment 3382103
Leta Revenue ya Bhakresa ya 2024 nakusubiri. Nimekupatia ya MeTL. Tuletee sasa ya kwako tuoneHiyo turnover ipo hivyo Toka mwaka 2015 View attachment 3382115
Kipindi hicho Azam hamkuwa na hizo kampuni
United petroleum
Bagamoyo sugar
Hotel Verde Zanzibar
Union properties
Mimi nadhan ungejikita kwa kutuletea sample ya uwekezaji wa Metl versus Azam ila kwa turnover ,hakuna mfanyabiashara anaweza kuweka wazi mauzo yake, hata hiyo Metl aliyoweka bado ni ndo sana kwa mauzo , huku mtaani watu wanamauzo zaid ya hata hayo ila ni issue za tra
Statistics hizo ni mitandaonj ukitaka kupata uhalisia angalia value ya uwekezaji.Brother mimi huwa siongei ushabiki. Mimi naongea uhalisia based on facts. Huwa siongei hisia kaka.
Evidence yako ni mimi niende kutembelea vingunguti!! 🤔 🤔 🤔 🤔 Sasa unataka nikaone ukubwa wa kampuni kwa macho?
Leta Statistical Data hapa.
MeTL
Employees: Around 24,000–37,000 across Tanzania
Contributes about 3.5–5 % of Tanzania’s GDP
Bhakresa Group
Employees: 2,000+ in Tanzania
Kwenye GDP haionekani popote