Hiyo nyumba ya Diamond I'm sure hata Ile OG imeshinda.Lol. None of the house in Kenya belong to someone with 50+ million YouTube views in a single song.
Hizo labda wakenya wamenunua na mortgage.
Do you have a comprehension problem? So, shida ya Diamond ni pesa ama ushamba?
Ukoo wenu wote hauna pesa za kufikia diamond from your ancestors. Diamond ako na nyumba more than 100 in Dar, Znz and 2 houses in South Africa. Kuhusu viwanja 🤣🤣🤣🤣 platnumz ako na viwanja mob zenye zinatoshana ukubwa na Nairobi city.Why go to the president?
My own grandfather had a much bigger backyard than Diamond. 😂 😂 😂
Nyumba ya OG ni takataka in comparison to Baba levo’s house once complited let alone Platnumz home. 👇🏾OG’s houseHiyo nyumba ya Diamond I'm sure hata Ile OG imeshinda.
Hii ni propaganda au siyo!?Hizi zote ni propaganda, nilikuambia utuonyeshe evidence ya Mosad kuwa bombed ukashindwa. KAZI yako ni maneno maneno Tu with no evidence, no wonder you are a quack.
Hizi zote ni propaganda, nilikuambia utuonyeshe evidence ya Mosad kuwa bombed ukashindwa. KAZI yako ni maneno maneno Tu with no evidence, no wonder you are a quack.
Kwanza hata ikifika Uganda, mzigo wa kutoa Uganda kwenda nje hakuna zaid ya bidhaa za kilimo kama chai ambazo huwa ni za misimu( deni unalipaje? )Kunyan wanakuambia tambo lao la chang'aa likifika uganda linaunganisha congo na rwanda,wangejua sgr yetu inanukia mwanza na isaka soon wangelia View attachment 3380415
Ask yourself why Lissu chose Nairobi over other regional cities like Kampala, Kigali, Bujumbura or even Maputo. Ama hizo miji mengine pia ilikuwa hatari kwake? The thing is, Lissu is alive courtesy of Nairobi Hospital. The emergency medical attention he received there saved his life.Magufuli daima asingeweza kutibiwa hata mafua huko Kenya, tundu lissu ilikuwa lazima aje Kenya kutokana na mazingira ya tukio lake na ukaribu wa naipori kutoka dar, na hata baada ya kuletwa huko ikabidi aondoshwe cz mlikuwa mmemukea mitungi ya gesi tu pasipo tiba, ndio mana akaondoshwa. Hamna kitu mnaweza nyie vilaza.
Hiko ni chombo cha Times of Israel.Hizi zote ni propaganda, nilikuambia utuonyeshe evidence ya Mosad kuwa bombed ukashindwa. KAZI yako ni maneno maneno Tu with no evidence, no wonder you are a quack.
Mzigo tegemezi wa Uganda wanaotegemea, ni Uganda kutumia Mombasa kwa mizigo yao wanayotoa nje ya nchi kama China.Kwanza hata ikifika Uganda, mzigo wa kutoa Uganda kwenda nje hakuna zaid ya bidhaa za kilimo kama chai ambazo huwa ni za misimu( deni unalipaje? )
Yaan hata uhakika wa kupata hela bado wanataka shindana na nchi ambayo mkandarasi yuko site lot zote .
Hivi wanajua kwamba kuna mchina anajenga meli zake tatu kwa ajili ya kusafirisha madini Toka manono kuja kigoma , yaan uhakika wa mzigo tayari
Kwahiyo nikoboa Mpunga kuwa mchele ni manufacture mchele?🤣🤣🤣🤣Yes ndio maana inategemea na soko lako unapoexport. Unaweza ukazalisha unga ukaexport kwa anayezalisha biscuits. Chapati clips na kazalika. Au ukazalisha final products
Sasa kama mnajua hili, nyinyi sgr yenu mnapeleka Uganda kufanya nini? Morons!Kwanza hata ikifika Uganda, mzigo wa kutoa Uganda kwenda nje hakuna zaid ya bidhaa za kilimo kama chai ambazo huwa ni za misimu( deni unalipaje? )
Yes, leta statement from either Israel or Iran officials stating that Mosad was bombed, sio hizo YouTube za Kiswahili ya wasiojua chochote kama wewe.
Yes, that's itThis the one with a basketball court. Maybe it can host AFCON finals and NBA finals at the same time. Double entertainment..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Katika kumbukumbu zangu sijawahi sikia kuna lot ya ujenzi kwenda Uganda bali mwanza? Labda utuambie wewe kuwa ni lini Tanzania imeanza ujenzi kwenda ugandaSasa kama mnajua hili, nyinyi sgr yenu mnapeleka Uganda kufanya nini? Morons!
The fact is, Magu was treated at Nairobi Hospital. This is the bitter pill these people don't want to swallowI remember posting a while back about this. This is a fact ( let’s put jokes on the side). A highly level VIP was rushed inside Nairobi Hospital VIP wing. State Security was posted there and it’s unusual for such a thing unless it involved a President. Infact the night staff thought it was Kenya’s President or ex at first. This the same time Mangufuli was awol to TZ public. And as I posted before, Lucky for me I got that first hand info from a relative working at Nairobi hospital night shift ( she’s still there). But still nobody knows who that patient was but only that he was a Presidential level type based on security detail at the time. The only person recognized was Raila Odinga who was seen heading to the VIP wing same night. He didn’t look sick meaning he was just a visitor. Another point is the VIP patient stayed there only overnight and he was secretly moved out ( sounds familiar????) I really hope one day Raila Odinga will reveal whom he was visiting at Nairobi Hospital that night .else someone needs to interview Nairobi hospital staff working that night and they will back my statement.
You can analyze my statement and make your own conclusion.
Yetu tulifikisha Naivasha mkapiga kelele and called it sgr to nowhere. Hii yenu ya kufikisha Mwanza has what economic value if the long term is not to reach Uganda?Katika kumbukumbu zangu sijawahi sikia kuna lot ya ujenzi kwenda Uganda bali mwanza? Labda utuambie wewe kuwa ni lini Tanzania imeanza ujenzi kwenda uganda
GDP ya consumption tuu inakalia madeni kuchangamsha uchumi kila kitu ni fake tuu huko.Kwi 82.8 bil ksh ni sawa na usd 641mil
Na bado total exports zenu zote ilikuwa ni 11bil usd versus 16 bil usd tz
Sasa kama mnaexport goods za 82.8 bil gdp yenu Iko wapi versus 1.92 usd bil ya tz
Hii mpaka December 2024 hatujafunga mwaka
Haya tuletee ya Kenya nyangau kama mnaweza vuka hata hiyo 1bil usdView attachment 3380122
Ifike isaka rwanda waungie pale,kwa uganda tungeweka mkakati mzigo wao ufike mwanza to port bell,shida hatuna viongozi wenye roho mbaya kama magu linapokuja suala la kuwanyoosha kunyanKwanza hata ikifika Uganda, mzigo wa kutoa Uganda kwenda nje hakuna zaid ya bidhaa za kilimo kama chai ambazo huwa ni za misimu( deni unalipaje? )
Yaan hata uhakika wa kupata hela bado wanataka shindana na nchi ambayo mkandarasi yuko site lot zote .
Hivi wanajua kwamba kuna mchina anajenga meli zake tatu kwa ajili ya kusafirisha madini Toka manono kuja kigoma , yaan uhakika wa mzigo tayari
Huyo ni mwanaume wewe Methuselah. Yani hawa ndio wadada mnatuambia hapa kila siku kwamba mko na madem warembo?Huyo mdada ana mtoto hivyo!
hawezi jibu hilo swali IQ yake ndogo. Msamehe tuu.Za EPZ haziwi captured kama export.