Ndio maana nakwambia matches za ufunguzi ni muhimu. Final ni wale wale waliofuzu ndio uhangalia.Kwenye Ufunguzi Taifa Stars will play ila kwenye fainali I am 100% convinced Mungiki will be nowhere nearer.🤣🤣🤣🤣
Ndio maana nakwambia matches za ufunguzi ni muhimu. Final ni wale wale waliofuzu ndio uhangalia.Kwenye Ufunguzi Taifa Stars will play ila kwenye fainali I am 100% convinced Mungiki will be nowhere nearer.🤣🤣🤣🤣
Russia the government build those houses na wanawapea rais at cheapest rent . System ya Russia ni ya kisocialist.Guess what, Russia the biggest country in the world by land size, wanaishii kwa maghorofa. Who are you to advise us?
Harafu serikali yao ili kukwepa majukumu kuwasaidia wakenya masikini yenyewe inawabatiza utanzaniaSasa kama mtu anakimbia kwao anaenda kuishi maisha ya hivyo nchi za watu unategemea nn kama ndiyo remittance acha tuzikose
Sasa hiyo furrow inipatie maumivu? Alafu anaongelea maendeleo ndio huyu hapa.
View: https://youtu.be/rrCn-B5J8RE?si=jPudxUIFcE030Ywu
Will Paul lini atafikia hii
View: https://www.instagram.com/reel/DLJTQaLiOuc/?igsh=MXJ2ejVwdDhqc3BzdA==
The argument as about land size na watu kuishi kwa maghorofa. Bongolala hampendi kusoma, hua munatafuta tu kitu ya kubishana alafu munaanza kuropokwa.Russia the government build those houses na wanawapea rais at cheapest rent . System ya Russia ni ya kisocialist.
nimecheka sana 😂😂😂😂😂😂Floating beach Apartments Kisumu, 11 floors at the shores of Lake Victoria.
View attachment 3377257
![]()
![]()
Construction Progress
![]()
Hakili ndogo ukijenga gorofa unaminimize space ila privacy hamna ukijenga nyumba yako peke yako unatumia eneo kubwa ila privacy iko juu.The argument as about land size na watu kuishi kwa maghorofa. Bongolala hampendi kusoma, hua munatafuta tu kitu ya kubishana alafu munaanza kuropokwa.
Mkionyeshwa miti si huwa mnasema ni pori? 🤣 🤣Concete jungle.
No trees
Detached houses in a big city need to be minimized. You people need to keep up with the current city planning trends.Hakili ndogo ukijenga gorofa unaminimize space ila privacy hamna ukijenga nyumba yako peke yako unatumia eneo kubwa ila privacy iko juu.
Mbona hakuna maghorofa, Karen, Muthaiga, Runda?Mkionyeshwa miti si huwa mnasema ni pori? 🤣 🤣
Sasa unalinganisha uswazi made city with richest and most developed city in entire East and Central Africa "Nairobi"Nairobi is very small with slums, ponds and Animal parks combined