Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii inawaumba sana wakenya aikwambie mtu. Wanatamani iwe ni wao.

1750402117780.png


1750402146914.png


1750402162524.png


1750402180758.png
 
Niliwakuta wengine X wanalia lia kwanini Tanzania hawazungumzi kijerumani wakati walitawaliwa na Wajerumani. 😂😂😂
This guys, waingereza waliondoka na akili zao, wamekaa kitumwa tumwa tu. I am telling usifanye deal yoyoye na mkenya, au muongee siri yoyote na mkenya. Akiona Mzungu tu ujue unasalitiwa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Walishauza utu wao kwa wazungu
 
This guys, waingereza waliondoka na akili zao, wamekaa kitumwa tumwa tu. I am telling usifanye deal yoyoye na mkenya, au muongee siri yoyote na mkenya. Akiona Mzungu tu ujue unadalitiwa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Walishauza utu wao kwa wazungu
Niliwahi kusema pia mkoloni aliondoka na akili za wakunya, hawa kondoo ukoloni uliwaingia kweli kweli. 😂😂😂
 
Niliwahi kusema pia mkoloni aliondoka na akili za wakunya, hawa kondoo ukoloni uliwaingia kweli kweli. 😂😂😂
Just imagine mtu anajisifia anajua kuongea Kingereza vizuri kuliko watanzania. 🤣 🤣 🤣 🤣 Waingereza wenye hawajisifii kuongea kingereza mbele ya mataifa mengine

Anyway, hayo ndio maisha waliyochagua, kuwa watumwa milele.

Ukiwanonesha vitu kama hivi wanaumia sana sana

1750402876198.png
 


100 Years of Mass Housing in Russia | ArchDaily


HOFINET | Housing Finance Information Network

Endelea kuiba picha na artistic impressions!
 
Let me simplify my answer, Talanta haijajengwa kwa kichaka kama ule uwanja wenu wa Arusha. It's well connected to a Railway line and good roads.
That is a location for a new Arusha city. it comes with other infrastructure such as new roads, hospitals, hotels, shopping etc iko kama Dodoma Magfuli city wewe subiri 2027 uone mandhari ya pale utajua hujui.
 
Wewe ndio mjinga . Have you ever seen Californians or Texans on the streets demanding secession. There is a difference between backyard chat/talk radio and a real independence movement. Zanzibar independence is a real threat to Muungano especially if a foreign power get involved ( maybe descendants of sultan of Oman)..😄😄
You are hallucinating
 
Back
Top Bottom