The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,484
- 98,529
Mali za muhindi ziko wapi, India au Tanzania? Biashara zake zinainufaisha India au Tanzania? Nyinyi mbn mnasherehekea gtc na xpresway na pesa zote zinaenda China.Yani wewe unasherehekea pesa za Muhindi wakati unaishi Uswazi Tandale? Alafu wewe mwenyewe umeskika ukitamba humu eti una umri mkubwa. Enyewe mwafrika anahitaji ukombozi. 🤣 🤣 🤣