President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Unaposema pesa za kitalii wanalipana huko huko unamaanisha nini?Utalii wa TZ, unategemea zaidi makampuni ya kitalii yenye mahoteli yao hapa ndio yalete wageni wao.
Ndio maana hata pesa za haya makampuni ya kitalii haziletwi nchini.
Wanakitana na kundi la watalii huko huko, wanalipana kila kitu, na hapa zinakuja oesa kidogo za uendeshaji na mishahara ya watu wao.
TANAPA wamejaa mitumbo tu hata kulipia Youtube ads hawawezi.
Kazi yao ni kupiga marufuku CAMERA kila kona, kwa watu amabo wangetusaidia kutangaza utalii bure.