Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Over 10 floors buildings under construction in dodoma..
1. Nssf commercial building 16 floors. (Njedengwa)View attachment 33714832.mhandisi house 12 floors 👇🏾( NCC link)View attachment 33714893.TCRA building 12 floors 👇🏾 (Njedengwa)View attachment 3371492.. Njedengwa ni city within the city of Dodoma.

Dodoma city itakua na centers tatu kubwa ambazo mji utakua ukifanya shughuli zake za kimaendeleo huko.:-
1. Dom old cbd & NCC link (extension of dodoma city enter)
2. Njedengwa
3. Mtumba/ dom gvt city.
Ugly buildings
 
That is not a running track watchman, that is a temporary roadway to allow construction vehicles to move around. Vumbistan education.🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
Then mkishamaliza hiyo road mnaivunja si ndiyo!!?? Yani unavyoongea utadhani mmejisahau wazee wa kwenda tofauti na render 🤣🤣🤣🤣🤣👍🤣🤣🤣
 
Hii chuma inatembea aisee, hapo ndipo tutakapotawala Afcon, yn very easy kutoka dar zen Dom, au kutoka Dar then unachukua boat all the way to zenji. Kule kwa wanusa gundi uwanja mmoja, mji mmoja na bado watu watalazimika kupanda nganya waende talanta, barabara zenyewe kama ulimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watasambaza kunguni hadi Kwa Marefa 😂😂😂😂😂
 
Naks...
IMG_20250615_132423.jpg
IMG_20250615_132537.jpg
IMG_20250615_132515.jpg
 
Mv Uhuru ya kenya wanapiga kelele hapa kumbe ni mtumba wa siku nyingi umefanyiwa ukarabati upya alafu wanalinganisha na mv Mwanza, tuwasamehe kwa vile ni jirani 😆
Who told you MV Uhuru 2 umefanyiwa ukarabati? MV Uhuru 2 is brand new and bigger than hiyo meli yenu ya vidonda.
 
Back
Top Bottom