joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Subiri time like this 2019 uje Bongo kwa mara ya kwanza tangu uzaliwe utapanda electrical, modern, faster full automatic control bullet train, unayaona kwenye youtube tu kwa sasa[emoji1]sgr electric na hamna stima..eti mnategea KINYESI 1 na 2...MAFALA
RUVU DRY PORT ICD AREA : KWALA OpenSanit INDUSTRIAL DEV
. Jifunzeni kuukubali ukweli mkuu.... Kenyans are by far beating you... Komaeni na ujamaa midomoni na ubepari miguuni tu! /QUOTE]
Mbona ninyi mlishindwa kujenga SGR matokeo yake wachina wamewapiga na kuwajengea old gari moshi?Akili zako ni finyu sana hebu weka picha za SGR za hivi sasa sio za March 2017.
Subiri time like this 2019 uje Bongo kwa mara ya kwanza tangu uzaliwe utapanda electrical, modern, faster full automatic control bullet train kwenye ndoto[emoji1]
Wakati wangu wote niliokuwa hapa Nairobi Kenya kwa mapumziko ya sikukuu, nimekuwa mzito kumtembelea Tundu Lissu mara kwa mara. Naona soni. Soni ya kumtazama steringi wa demokrasia, siasa, na utawala wa sheria akiwa amelala kitandani. Anazungumza hadi anaumiza. Anauliza hadi analiza. Nimekwenda mara mbili tu tangu nifike tarehe 20 mwezi huu.
Amini nawaambia, Lissu ni steringi wa mambo ya siasa, demokrasia na utawala wa sheria. Amesema kwa kukosoa walipokosea. Ameonya hatari za mambo mbalimbali ya kisheria na kidemokrasia jkwa mustakabali wa nchi yetu. Amesema waziwazi hadi kuitwa mnazi. Amesema nje na ndani ya Bunge. Ametetea, ameunga mkono na kupigania anachokiamini. Who else?
Tarehe 20 Januari, 1968 alizaliwa. Akakua. Akapambana kimaisha, kimasomo, kisiasa na kadhalika. Mwaka huu, akashambuliwa. Akaanguka asijitambue. Akabebwa asijijue. Akatibiwa asigundue. Akalala kitanda cha wagonjwa hapa Nairobi kwa siku 101. Hatimaye, amesimama tena. Amesimama kuelekea kutembea. Kutembea kwenda mapambanoni tena. Stay alive!
Lissu atatikisa, atayumbisha na kugeuza mambo. Wanaoonekana kusambaratika, wataimarika. Kuanzia mapokezi yake atakaporejea (ambayo tayari yameshaanza kuratibiwa huku akiendelea kutibiwa), mambo yatanoga hadi kutia woga. Ataimarisha panapomuhitaji na kupandisha kujiamini, kusema na kujenga hoja kwa wale wanaomuamini. Steringi wa siasa za kisasa atarudi kumalizia picha yake.
Lissu ananihuzunisha, ananiimarisha na, kama mwanaCCM, ananitisha. Haachi kusoma hata kitandani. Haachi kusema mtu akiingia ndani. Haachi kufikiri na kukariri. Haachi kutafiti ili kujiweka fiti. Haachi kuponda na kupenda. Haachi kupanga na kupangua kwa kujua. Haachi kutabiri kwa umahiri. Ni wa kipekee.
Nawatakieni mwaka mpya mwema wa 2018 ambao utakuwa na Lissu tena!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Nairobi, Kenya)
phase ya kwanza wamechapwa 3.8b usd bado interest hawajaeka ya wachinaππππMbona ninyi mlishindwa kujenga SGR matokeo yake wachina wamewapiga na kuwajengea old gari moshi?
Nashanga kapost post ambayo hata mm cjawai ipost cjui kafanyaje hahahahajamanii enhh mumemuoa mwaswast ame hack account yangu na kupost upuuzi hahahπππππ
Mbona sisi tumeshindwa kujenga SGR matokeo yake ni kuwashobekea nyinyi Wakenya na huku tunatumia old gari moshi?
ame edit post yako na kupost tena , naona leo kavutwa kinyoleo cha kwenye makendeπππNashanga kapost post ambayo hata mm cjawai ipost cjui kafanyaje hahahaha
Huo ubalozi hatuuhitaji kwanza nyerere alishaukataa kitambo ndio maana mpaka leeo huoni ubaloz wa hao fallen angelsLazima tukubali kuwa Wakenya wako smart kuliko ntie wapiga domo tu.... Unahangaikia wafilisti ili wakusaidie nini? Ni biashara gani unaifanya na mfikist ambayo inazidi faida inayoipata toka US?
Tatizo letu ni kiburi cha kimasikini ndo kinatusumbua... Ni bora hata haya maazimio raia tupewe nafasi ya kupiga kura za maoni siyo kutegemea mtu mmoja mwenye vionjo vya kipuuzi na mwarabu eti anawapigania waarabu. Kwa hali hii, sahau ubarozi wa Isr kufunguliwa nchini kwenu.
"Tanzanians are very weak when it comes to economic diplomacy!!!!"
Einstein mwenyewe...Hahahaha! sasa weka picha ya superhighway.Nashanga kapost post ambayo hata mm cjawai ipost cjui kafanyaje hahahaha
Leo ni mimi na nyinyi hadi mjambe jambe.Huo ubalozi hatuuhitaji kwanza nyerere alishaukataa kitambo ndio maana mpaka leeo huoni ubaloz wa hao fallen angels
einsten hutoa facts sio povuππππππ tanzania itakuumiza kichwa bure hii sio mwaka ule wa 90sEinstein mwenyewe...Hahahaha! sasa weka picha ya superhighway.
Mao Zedong alifanyia China kazi kubwa sana inayoonekana matunda hadi leo, Nyerere Kabarage kazi mbovu alifanyia Tz inawafanya mfurike hapa kututolea hasira.Kumbukumbu
TAZARA
Shukuru mkuu kadoda we mshamba kweli.einsten hutoa facts sio povuππππππ tanzania itakuumiza kichwa bure hii sio mwaka ule wa 90s
Kumbe ndio ujinga anafanya hahahahahaha anatujaza maneno mdomon nyokkoohana uwezo wa ku-hack account yako....sana sana anachoweza fanya ni ku-edit post zako kwa kuweka maneno yake na kupost upya.easy sana.ondoa shaka icho.