Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kusimama huwezi kusimama ila utatuchukua mdaa sana kuliko tulivyotarajia, tutegemee treni ya kwanza kufika mwanza kunzia 2032 huko kigoma 2035Ujenzi unaaendelea ila baada ya uchaguz nahisi utasimama kabisa
Si kweli. 2027 mwanza, 2028 KigomaKusimama huwezi kusimama ila utatuchukua mdaa sana kuliko tulivyotarajia, tutegemee treni ya kwanza kufika mwanza kunzia 2032 huko kigoma 2035
huko mbali mno mkuu. Sidhani kama phases zote hadi KG zitafika 2030. We are going to have all phases done before 2030.Kusimama huwezi kusimama ila utatuchukua mdaa sana kuliko tulivyotarajia, tutegemee treni ya kwanza kufika mwanza kunzia 2032 huko kigoma 2035
Unajua ni ukweli, vumilia mtapata nafuu siku moja. ,Mnaona matokeo wapi?
Miradi ipi haisongi?
Toka hapo Murang'a, utoke tongotongo
Dumia siyo Murang'a, toka upate akili
Kenya mna sauti gani?
- Desperate slum dwellers ndio wana sauti?
Wamebadilisha nini sasa??
Very realistic., wengine wanakariri ndoto za alinacha.., tuko humu tutaona hadithi za vijiweni zinavyo umbuliwa na ukweli.,Kusimama huwezi kusimama ila utatuchukua mdaa sana kuliko tulivyotarajia, tutegemee treni ya kwanza kufika mwanza kunzia 2032 huko kigoma 2035
Awamu ya 3 na ya 4 hataujafika ata robo na bajeti ya mwaka huu inaonesha wazi kabisa hamna chochote kikubwa kitakacho fanyika unless kuwe na mabadiliko kwenye budget ila kwa trend hii hatuwezi kutoboaSi kweli. 2027 mwanza, 2028 Kigoma
Haha per capital income haiwez kuwa measure ya economic activity sababu itategemeana na population ya eneo husika .Hizi nikama ndoto za alinacha., kushirikisha ubongo hauna.., if I put here county by county with per Capita income tulinganishe na Tanzania utaona aibu mlio nayo.., yaani on average Kenya imewaacha mbali.,
Leta makusanyo ya local government a.k.a county tulinganishe na Tanzania provinces 🤣🤣🤣🤣Per Capita sio Capital, na naongelea ya counties.., ama umekurupuka tu bila kusoma na kuelewa? Mbona zezeta hivi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Inabidi tuende kiuhalisiaa kaka tuachane na porojo za viongozi mradi kwa sasa umezorota kwa spidi tuliyonayo sasa mfano mzuri ni awamu 5 inafaa iwe imekamilika by now ila ndio kwanza tupo 50% sijui 60% sasa sijui mwenzangu unaona nini cha tofautihuko mbali mno mkuu. Sidhani kama phases zote hadi KG zitafika 2030. We are going to have all phases done before 2030.
Kama mna economic activity nyingi how come tana river yenye ukubwa kama kigoma inakuwa na mapato ambayo hayafikii hata nusu ya kigoma🤣🤣🤣. Mmeshindwa kuuza hata mchanga🤣🤣🤣Per Capita sio Capital, na naongelea ya counties.., ama umekurupuka tu bila kusoma na kuelewa? Mbona zezeta hivi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Awamu zote mpaka sasa zilitakiwa ziwe above 60 ila basi TenaInabidi tuende kiuhalisiaa kaka tuachane na porojo za viongozi mradi kwa sasa umezorota kwa spidi tuliyonayo sasa mfano mzuri ni awamu 5 inafaa iwe imekamilika by now ila ndio kwanza tupo 50% sijui 60% sasa sijui mwenzangu unaona nini cha tofauti
Matumaini ipi na tutakamilisha kama bado mnasua sua ., we don't behave like you., hatukurupuki na mradi tu, tuna angalia viability kwanza, vile Uganda wali launch upande wao from Malaba, sasa Kenya ilitafuta PPP model ya kukamilisha hadi Malaba border and succeeded in getting mkataba,., where revenue yetu haitaguzwa kulipa, project itajilipa yenyewe, 30% inalipwa kwa serikali ya Kenya, 30% kwa ya China, na 40% Kenyan banks and Chinese banks wanagawana, because hivyo ndivyo wana contribute kwa ujenzi, yaani pesa mingi itabaki Kenya SGR ikianza kazi, a better deal than ya Uhuru na yenu ya Magufuli, kukopa kisiri., sasa ni finalizing mapping for compensation of affected people along the line., ujenzi wa SGR ni faster than roads., mko hapa mtashuhudia vile Kenya inapaa kwa kasi, going forward.., kama vile Talanta imejengwa., na housing project..,Nyinyi yenu ata matumaini hamna bado mnasubiria huruma kutoka kwa mchina siku mkindoa iyo fikra angalau mnaweza ata kuifikisha naivasha
Why can't you fund your education sector with own source revenue na si kutegemea donations? Yani ka nchi kadogo kama kenya kanaspend mara 6 yenu kwenye education kisha mnajigamba 'tumenunua ndege kwa fedha zetu'. Ndo maana nchi imejaa school droupouts kuanzia raisWhy now can't you fund even a small project with own source?
Last 3 months mradi wa phase 5 ulikua 63% sahii utakua umesonga mbele sana. Na tayari pia wameshaanza kujaribu njia za reli mkuu. 👇🏾Inabidi tuende kiuhalisiaa kaka tuachane na porojo za viongozi mradi kwa sasa umezorota kwa spidi tuliyonayo sasa mfano mzuri ni awamu 5 inafaa iwe imekamilika by now ila ndio kwanza tupo 50% sijui 60% sasa sijui mwenzangu unaona nini cha tofauti
Empty talks 🚮 hapa si mahali pa kujifariji. 🤣🤣🤣🤣 sisi tunakuonyesha maendeleo ya mradi we unaleta blah blah.Matumaini ipi na tutakamilisha kama bado mnasua sua ., we don't behave like you., hatukurupuki na mradi tu, tuna angalia viability kwanza, vile Uganda wali launch upande wao from Malaba, sasa Kenya ilitafuta PPP model ya kukamilisha hadi Malaba border and succeeded in getting mkataba,., where revenue yetu haitaguzwa kulipa, project itajilipa yenyewe, 30% inalipwa kwa serikali ya Kenya, 30% kwa ya China, na 40% Kenyan banks and Chinese banks wanagawana, because hivyo ndivyo wana contribute kwa ujenzi, yaani pesa mingi itabaki Kenya SGR ikianza kazi, a better deal than ya Uhuru na yenu ya Magufuli, kukopa kisiri., sasa ni finalizing mapping for compensation of affected people along the line., ujenzi wa SGR ni faster than roads., mko hapa mtashuhudia vile Kenya inapaa kwa kasi, going forward.., kama vile Talanta imejengwa., na housing project..,
Idadi ya watu wa Tana River ukilinganisha na Kigoma ni ngapi??.., tuweke list uone vile mko hovyo? You do per Capita one by one, latest data, fyata utulie kimya kimya nisikuaibishe bure, ni wewe ulikurupuka humu na list siku moja?🤣🤣🤣🤣., Tanzania hamuna lolote ukanda huu.., yaani kama Dar ndio inalingana na Kiambu na Nakuru county kwa revenue unatuambia nini wewe?🤣🤣🤣.,Kama mna economic activity nyingi how come tana river yenye ukubwa kama kigoma inakuwa na mapato ambayo hayafikii hata nusu ya kigoma🤣🤣🤣. Mmeshindwa kuuza hata mchanga🤣🤣🤣
Blah blah. 🤣🤣🤣🚮Idadi ya watu wa Tana River ukilinganisha na Kigoma ni ngapi??.., tuweke list uone vile mko hovyo? You do per Capita one by one, latest data, fyata utulie kimya kimya nisikuaibishe bure, ni wewe ulikurupuka humu na list siku moja?🤣🤣🤣🤣., Tanzania hamuna lolote ukanda huu.., yaani kama Dar ndio inalingana na Kiambu na Nakuru county kwa revenue unatuambia nini wewe?🤣🤣🤣.,
Tana river 456,000 kigoma 1.5 mil according to 2019Idadi ya watu wa Tana River ukilinganisha na Kigoma ni ngapi??.., tuweke list uone vile mko hovyo? You do per Capita one by one, latest data, fyata utulie kimya kimya nisikuaibishe bure, ni wewe ulikurupuka humu na list siku moja?🤣🤣🤣🤣., Tanzania hamuna lolote ukanda huu.., yaani kama Dar ndio inalingana na Kiambu na Nakuru county kwa revenue unatuambia nini wewe?🤣🤣🤣.,
Maneno ya wachawi na warogi wa South haina nguvu kushinda nia ya Wakenya, itakua tu kama mlivyo nena eti "Talanta haitajengwa..," sasa mko wapi? mtalilia kwa choo, tuko hapa sote kushuhudia SGR., mtakoma!!Empty talks 🚮 hapa si mahali pa kujifariji. 🤣🤣🤣🤣 sisi tunakuonyesha maendeleo ya mradi we unaleta blah blah.