Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
Si sawa lile eneo halipaswi kuwa yard ya makontena! Nadhani kama pameruhusiwa basi kuna serious violation on landuse ya sehemu ile! Pale ni sehemu ya offices tena embassies na sio kitu cha kushangilia!Inland Container Depot project opposite French Embassy !
View attachment 3358017
View attachment 3358023View attachment 3358023View attachment 3358026
Kwa akili zako hizi za vijiweni unaona a newspaper like the Star is a gutter press? Eti wao wata report without facts?.., unadhani the star newspaper ni Tuko news where anything goes, even without verification or unadhani ni umbeya za Jamii forums na hadithi za vijiweni🤣🤣🤣., tafuta data from Kenya Ports Authority ama KNBS data wewe mwenyewe ujisomee, Kisha uzitumie kupinga hiyo taarifa, sio kutumia fikra zenu uchwara🤣., kindly come with current data from Kenya Ports Authority inayo onyesha the Star newspaper wameandika porojo.., am here waiting.., vilaza kwa ubora wao, naona raha mnavyo jikaranga🤣🤣Katika gazeti lao la The star la 4 june 25 wanasema Mombasa wapo tani 40.99. Tunamkimbiza mwizi uchi hakubali kupitwa na data zake za kupotosha 😁
Sawa Mr. "kwa ground"., hainisumbui 🤣🤣Watu wanaendelea kukuona jinsi ulivyo mpumbavu 🤣🤣🤣 hehehe. Mada ni kuhusu Bajeti ya Tz, lakina unaleta story za waganda sijui. 🤣🤣🤣
Haya bwana kilaza. Jitu zima zezeta. Wanako wamekula hasara wewe. 🤣🤣🤣
Zile BRT blue buses za Serikali zipo wapi wakuu Scania na Golden Dragon ikiwa taarifa tunasikia za kina MOFAT mwarabu.Hawa kweli huwa wanasoma maoni yetu humu jf, japo huyo mofat wamezingatia nn? Mbona mkataba wa muda mrefu hivyo? Je, akishindwa?
Of course it’s like you’re immune to jokesHii siyo ramani ya Tanzania. Upo nyuma ya muda
1. Manyara
2. Simiyu
3. Geita
4. Songwe
5. Katavi
6. Njombe
Umezipeleka wapi?
Hii ni proof ya taarifa za wakenya zote ni za uongo
Umeshindwa kujua hiyo ni budget ya single ministry, Finance??Hua wanacheka Kenya yet they are at the bottom of the pit.🤣🤣 Yani bongoslum has budgeted for Ksh 36 billion for development. 🤣🤣🤣 Ohhh sijui GDP yao iko understated, lakini the budget never lies. LDC ni LDC tu.
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1930527581482463432?t=6t9GEJwgW6KobKhqgJcFhw&s=19
On the train to Mombasa you can see Kilimanjaro on a clear day acha kubisha facts just because you want to be appropriatephotoshopped huwezi kuona 2 peaks!
Kuna tamaduni za kurithi.Kuna wakati unaweza dhani, ni vizazi vilivyopita ndo vilikuwa na tatizo, cha kushangaza, watu hawabadiliki kizazi na kizazi. Ni matumizi ya technology tuu ndo yamebadilika.
Inamilikiwa na Africa Inland Container Depot Company, Ila project ni 4 Storey Commercial Building. Sio ya kuwekea makontena.Si sawa lile eneo halipaswi kuwa yard ya makontena! Nadhani kama pameruhusiwa basi kuna serious violation on landuse ya sehemu ile! Pale ni sehemu ya offices tena embassies na sio kitu cha kushangilia!
Feel sorry for your kids and wife. 🤣🤣🤣🤣 imagine wewe ndio baba yao. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dunia ina vioja hii.Sawa Mr. "kwa ground"., hainisumbui 🤣🤣
View attachment 3358046
Atajulia wapi mwambie akuletea ya kwao uone vurugu hapaUmeshindwa kujua hiyo ni budget ya single ministry, Finance??
Kenya hawakopesheki kwasasa.Omba yao sasa maana nusu ya budget inaenda kwenye deni
Kwasasa uchumi wa KENYA ume-hang tu, unasikilizia uchaguzi wa 2027 upite.Atajulia wapi mwambie akuletea ya kwao uone vurugu hapa
We acha tuu, kipindi chetu internet inaanza, tuliitumia kupata taarifa, ilikuwa ni kama big encyclopedia. Siku hizi imekuwa kijiwe cha umbea, sijui ku troll na propaganda. Tutakuwa na kizazi cha mazombie ambacho hakijui kutofautisha mbili na tatu.Kuna tamaduni za kurithi.
N mazoea ya maisha.
Uzoefu wa maisha.
Mfano, Umezaliwa umekuta tayari Kenyatta na familia yake wameshapora ardhi ni kama wafalme.
Kila kabila lina mfalme anayejiita mfalme, Wajaluo maisha yote wanampambania Odinga tu.
Mtu ambaye hana kitu, anataka cha kwako mgawane. HUO NI UHUNI.
Na kibaya zaidi watuwengi ni wavivu, kizazi cha internet ila hata utafiti kidogo hakuna. Hivyo ni rahisi wanasiasa kudanganya tu.
uko sahihi kabisa, jipe moyo, nimekukubali ulivyo kwa hizi fikra zako.,🤣🤣nimekuombea dua, utapona.Feel sorry for your kids and wife. 🤣🤣🤣🤣 imagine wewe ndio baba yao. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dunia ina vioja hii.
Jitu zima halafu zezeta 🤣🤣🤣🤣uko sahihi kabisa, jipe moyo, nimekukubali ulivyo kwa hizi fikra zako.,🤣🤣nimekuombea dua, utapona.