🤣 🤣 🤣 Primary school dropouts.Ilisemekana hakuna magari yanatumia hii expressway
🤣 🤣 🤣 Primary school dropouts.Ilisemekana hakuna magari yanatumia hii expressway
2km train length![]()
1.5K reactions · 33 shares | Majaribio treni ya mizigo...shwaaa!! | Tanzania Railways Corporation
Majaribio treni ya mizigo...shwaaa!!www.facebook.com
Hapo tumekunja uso tuu hatujatamka chochote maombi ya msamaha kama yoteTuliombwa msamaha lakini wakundustan wanaijadili if kwenye msamaha, wajue tu Tanzania sio ya kuchezea
View attachment 3353250
Unajipa umuhimu wa kisenge.Hii ndio takataka unataka kulinganisha na Talanta?
Wana maisha ya hovyo sn, taifa haliwezi kutengenezwa na watu wavivu na wazembe kama hawa, no wonder mpk leo wanasumbiliwa na njaa.Kwasasa Nairobi kila mtu ni content creator
Oya ya mzigo inatembea kama ya abiria!😂😂
The revamped Pipeline ya leo ikija Dar itakua same level(or even better than) apartments za Dar ndani ya CBD yenu..,Eastlands ipi kuna nyingine zaidi ya hii?
View attachment 3350553
Kila mmoja anataka kukaa Nairobi.Wana maisha ya hovyo sn, taifa haliwezi kutengenezwa na watu wavivu na wazembe kama hawa, no wonder mpk leo wanasumbiliwa na njaa.
Sasaivi ni pini tu kumamaezenu, nendeni mkale mlipopeleka mboga, hatuwezi tukawa tunawalisha alafu mkishiba mje kujamba kwetu.
View: https://youtu.be/g0VTNk4wKNA?si=kBI42HY3XlphWpKk
Sio kama zipo same level or even better than these takatakas ,? 👇🏾The revamped Pipeline ya leo ikija Dar itakua same level(or even better than) apartments za Dar ndani ya CBD yenu..,
Pipeline reloaded 2025🔥🔥
View attachment 3353434
View attachment 3353435
View attachment 3353433
View attachment 3353436
View attachment 3353437
Ikishona mzigo inashona mzigo wa nguvu. 😂😂😂
![]()
1.5K reactions · 33 shares | Majaribio treni ya mizigo...shwaaa!! | Tanzania Railways Corporation
Majaribio treni ya mizigo...shwaaa!!www.facebook.com
Tunabishana na babu zetu humuMuhenga huyu kabisa ndevu kama steelwire kidevu kimekomaa hicho ana udogo gani? Rika lake kenyatta maumau veteran
Balaa mkuu. 🔥🔥🔥
Naomba tu wale madereva wetu wadhibitiwe la sivyo hapa watatembea na 200Hizo behewa kama 1km hivi kuna watu wataenda lilia kwa choo