Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kujua vernecular language sio ukabila
Hili swala unaweza kuwa sahihi katika nchi ambazo zimefuta kabisa ukabila, lakini katika nchi ambazo ukabila ni tatizo kama ilivyo katika nchi nyingi za Africa, vernecular language is almost the same as ukabila, wala usipinge,

Hata huku Tanzania ambako tunasifika kwa kufuta ukabila, lakini ukikutana na mtu ofisini anazungumza lugha ya kabila lako, automatically unajisikia kuwa karibu na yeye zaidi kuliko watu wengine, unajisikia kumpa umuhimu zaidi kuliko the rest,
 
2018 project.. Soon tu Kenya tunawapunguzia distance.. Sio lzm muende Japan

Huku mpo huru sana kutoa mawazo yenu bila kutukanwa kutokana na kabila lako, mngekuwa huko kwenu, tayari ungekuwa umeshatengwa kutokana na kabila lako.
Hapa tunawacharaza 24/7/365 mpaka mnatokwa povu. Wewe huwezi toboa JamiiForums.com hata siku moja wewe ni mnyonge sana ni vile huwezi toroka JF kwa kuwa hamna kuingine. Tupatane somalispot kwanza wasomali wakunyoroshe kama mbwa msikitini.
 
sawa sawa Mr. Know-it-All.
sijui hizi tafiti zako ulizifanyia lini
 
Hapa tunawacharaza 24/7/365 mpaka mnatokwa povu. Wewe huwezi toboa JamiiForums.com hata siku moja wewe ni mnyonge sana ni vile huwezi toroka JF kwa kuwa hamna kuingine. Tupatane somalispot kwanza wasomali wakunyoroshe kama mbwa msikitini.
 
Mtaongea yote mwaka huu na bado kudadekiii
 
Hapa tunawacharaza 24/7/365 mpaka mnatokwa povu. Wewe huwezi toboa JamiiForums.com hata siku moja wewe ni mnyonge sana ni vile huwezi toroka JF kwa kuwa hamna kuingine. Tupatane somalispot kwanza wasomali wakunyoroshe kama mbwa msikitini.
Hebu nijuze jinsi ya kujiunga JamiiForums.com niende nikawavuruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…