Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Zipo lakini.? and they are cheap right.? 🤣🤣🤣 na nyie mkifika Ndio mnanunuanga hizo.Unaweka nyumba za America zilijengwa enzi za 1960s
Zipo lakini.? and they are cheap right.? 🤣🤣🤣 na nyie mkifika Ndio mnanunuanga hizo.Unaweka nyumba za America zilijengwa enzi za 1960s
Baada ya kuwapigia kelele humu ndio mnaondoa magovi?Wewe bongolala niliitahiriwa kabla hata ujue tohara ni nini. Hivi, umeishiwa?
Acha kujipendekeza mtoto wa kiume, utaolewa kama Boniface MwangiWakenya wote tuliokwazana kwa kupishana kauli mnisamehe sana. Ninyi ni majirani bora kuliko majirani wote tulikua nao sio EAC wala SADC. Kenyans are the best.
UKombozi wataifa la Tz utatokea kenya
Umeishiwa hoja kilaza?Baada ya kuwapigia kelele humu ndio mnaondoa magovi?
Hebu sema kweli uliondoa govi lini?Umeishiwa hoja kilaza?
Uliza mamako akuhadithieWajaluo hamtahiri wacha uongo, una govi.
Hawa ni jealousy ndio inawasumbua. They can't match us in most projects so they can't help but talk negative about our projects while in the real sense wanazitamani sanaThe whole issue is dealing with shame…they were against affordable style of housing ( they told us they were dormitories)… Then as we expected, their government commenced similar projects ( copycat). Now they are posting affordable housing like every week. Similarly, Uhuru government initiated modern markets and soon TZ started the same ( and this where I give them credit. They have done a better job despite being copycats)…
Mbona kitu kidogo tu. Hasira ya nini? Umekata govi lini?Uliza mamako akuhadithie
The whole issue is dealing with shame…they were against affordable style of housing ( they told us they were dormitories)… Then as we expected, their government commenced similar projects ( copycat). Now they are posting affordable housing like every week. Similarly, Uhuru government initiated modern markets and soon TZ started the same ( and this where I give them credit. They have done a better job despite being copycats)…
As usual with bongoland, lami ni luxuryMiddle class Dodoma. 👇🏾View attachment 3344140
Tuliza boli, hizo ni miji mipya mzaee.As usual with bongoland, lami ni luxury
Hizi hapa miradi za around 6000 units in Dodoma. 1. iyumbu. Mradi wa nyumba 1500. 400 units complete 👇🏾. View attachment 3344170View attachment 3344171..View attachment 3344177 ..
View: https://www.instagram.com/reel/CwUgkP6Nfcl/?igsh=YW1uM3ZjdHh3OGpl. Halafu kuna huu mradi wa units 3500. Whereby 150 complete 👇🏾View attachment 3344185View attachment 3344181View attachment 3344180.. halafu kuna huu mradi wa medeli 15 blocks with 5 floors each 👇🏾400 units View attachment 3344187View attachment 3344188hii ni phase 3 yake 👇🏾3 blocks with 8 floors each building View attachment 3344190.. halafu kuna huu mradi. Kisasa hill top 100 units 👇🏾View attachment 3344191…
Note, hiyo miradi yote niliyo mention hapo juu ina idadi ya units zisizozidi 6000.. you can get to see how bigger they are, 3500 housing project is not even half way to be completed.. but kunyans in the other hand wanatuambia hizi ni 13k units 🤣🤣👇🏾View attachment 3344195labda kama ni chumba kimoja kimoja. 🤣🤣🤣. Eti bwana Nicxie. Hebu ieleze jamii
Unanyongwa mwezi ujao, nyie wakenya mmezidi aisee kwenye drugs trafficking, kila siku no nyie tu. Na kwa taarifa yako kwa ss airport zote duniani zimeongeza uchunguzi kwa mkenya yeyote anayepita, ni rahisi Mtz kupita na drugs lkn sio mkenya, mnasifika kwa dawa za kulevya mbwa nyinyi.Ninyongwe na nyanyako?
Govinda we 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uliza mamako akuhadithie
Mwambie kachumbari ni bure, mana kule kwao wanauziwa aisee 🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania hakuna kitu kinaitwa affordable housing. Wala hizo projects hakuna na hazitakuja kuwepo.
Karibu Kumbilamoto nyama choma market. Nyama buku ,ugali jero... Yani 1,500/= unapata ugali mkubwa nyama na kachukbari ya kutosha....
Hata Kenya maeneo kama hayo yapo.That photo is from Nigeria you idiot.
Kubali hakuna Nairobi unajua. Ushachoma picha, huwezi jiredeem.Kwahiyo lazima niulizie watu hapo ni kitu gani?
Ukifika Nairobi unauliza kila jengo au kila empty land ni nini?