Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jaluo ni jaluo.

Tuumie kwasababu ya bedsitter.

A grown up family kuishi kwa chumba kimoja ghorofani.

Are you people okay with your brains??
Sasa si unaona maumivu ndio hii hapa. Those houses are bed sitters, one bedroom, two bedroom and three bedrooms. You go for what suits you.

Umesikia bongolala?
 
Wewe huna jibu, Wacha kusumbuka bure. How many units are those?
Jaluo ni jaluo kweli.

Unataka wajengwa nyumba laki 4 wakayi wati hawazitaki??

Labda kama hujui maghirofa menginya Upanga, Posta, Kariakoo wanakaa Wahindi ni affordable houses, built so lon time ago.
 
Jaluo ni jaluo kweli.

Unataka wajengwa nyumba laki 4 wakayi wati hawazitaki??

Labda kama hujui maghirofa menginya Upanga, Posta, Kariakoo wanakaa Wahindi ni affordable houses, built so lon time ago.
Mkuu wewe unatumia picha za zamani kujibu mapigo, lazima atakusumbua 🀣🀣🀣 we tulia uone ninavyomnyoosha.
 
6 thousand units wakati one project in Kenya has 13 thousand units! Wacha kutupotezea muda kijana wa Tandale
🀣🀣🀣 usiniletee ujinga mimi wewe, Leta hiyo project 13k units tuione 🀣🀣🀣. Halafu wewe si ulileta utoto kuhusu Dom. Nataka twende na hiyo beat. Want you to mention anywhere outside Naipori kwenye kuna project za Affordable housing. 6000 units. Nasubiri nipo hapa.
 
Jaluo, hakuna affoordable house hapo ya 3 bedroom.

Subiri wahindi na wanasiasa wanunue wawapangishe.

Pipeline 2.0
Utaumia hadi lini bongolala?
IMG_20250524_165104.jpg
 
🀣🀣🀣 usiniletee ujinga mimi wewe, Leta hiyo project 13k units tuione 🀣🀣🀣. Halafu wewe si ulileta utoto kuhusu Dom. Nataka twende na hiyo beat. Want you to mention anywhere outside Naipori kwenye kuna project za Affordable housing. 6000 units. Nasubiri nipo hapa.
Dodoma alitaja kilaza mwenzako sio mimi

Project ya 13k units hii hapa. Any questions kijana wa Tandale?
Screenshot_2025-05-23-13-55-41-78_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg
 
Talanta will never be built...walisikika Mibongolala wakisemaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kazi inaendelea usiku na mchana View attachment 3344054View attachment 3344055
We have bigger stadium than this and we are quite, Mkapa stadium can accommodate more than 65k spectators, we are building other world class stadiums unlike you who build only one stadium.
 
🀣🀣🀣 usiniletee ujinga mimi wewe, Leta hiyo project 13k units tuione 🀣🀣🀣. Halafu wewe si ulileta utoto kuhusu Dom. Nataka twende na hiyo beat. Want you to mention anywhere outside Naipori kwenye kuna project za Affordable housing. 6000 units. Nasubiri nipo hapa.
Akirudi nafuta akaunt JF
 
Back
Top Bottom