Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Renders for MKICC mind you
1st phase ina Convention centre , Hotel na, Mall, Parking at 152mil usd

Convention centre ina 5000seat auditorium
Hotel ya 500rooms
Mall na Shopping area ya 20k sqm

2nd phase mkataba haujawa signed itakuwa ni exhibition space ya ku accomodate 7500 to 10,000seats at onec
View attachment 3343938View attachment 3343939
Bomas Convention Center is twice the size of this, BIMC has a capacity of 11,000 seats.
 
Yes! Kazi ya serikali sio ya kujenga malls au mahoteli! Ingawa inaweza, ila sio entirely! Kwa nini wasi build capacity ndio wananchi wafanye hizo biashara?

Kama hakuna shida serikali kujenga hizo nyumba bhas Wacha waendelee tu kujenga. Hilo ni shirika la nyumba la Taifa...Sasa sijui unataka wajenge nini!?

Mtu binafsi pia na kampuni binafsi ruksa kujenga...na zipo nyingi tu miradi kama Jenga uza...na estate za watu kadhaa the like of hamidu city , scuba etc
 
6. Uhuru Market, Kisumu County. Baboonman uko area?

IMG_1499.png
 
Yes! Kazi ya serikali sio ya kujenga malls au mahoteli! Ingawa inaweza, ila sio entirely! Kwa nini wasi build capacity ndio wananchi wafanye hizo biashara?
Msitulazimishe tuwe kama nyinyi kila kitu achukue mgeni mwishowe tuishi kwenye mabati kama nyinyi, sisi ni ma socialist kama China. Angalia China anachofanya ndiyo sisi tunafanya.
 
Kwahiyo lazima niulizie watu hapo ni kitu gani?

Ukifika Nairobi unauliza kila jengo au kila empty land ni nini?

Ni kama useme unaijua Dar alafu ukipewa picha ya Dar bahari ikonekane unauliza hiyo ni Nini. Hilo sio jengo bro, that is a whole national park. Ni miongoni mwa vitu ambavyo ukiingia jijini Nairobi lazima uvione especially kama umetokea from the south or the airport.
 
Mnayo masoko mangapi kama haya?

I can show you tons of them in Tanzania
Mmeuliza apost masoko ya Kenya mkasema hayapo. Sasa Kila akipost mnasema mnayo pia. Sasa mbona mlimuuluza apost kama hamwezi acknowledge? Postini yenu tuyaone naye mmuache apost yetu.
 
Mmeuliza apost masoko ya Kenya mkasema hayapo. Sasa Kila akipost mnasema mnayo pia. Sasa mbona mlimuuluza apost kama hamwezi acknowledge? Postini yenu tuyaone naye mmuache apost yetu.
Masoko siyo big deals.

Tunayo mengi sana na yanatumika.

Masoko yote kaposti naona mi new projects, maan hayana hata watu.

Na hayapo kote.

Soko kubwa Nairobi ni Gikomba, bado ni tope tupu.
 
Back
Top Bottom