President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,621
- 94,218
Pole walala uswazi., usipotee njia tafadhali 🤣.,chumba kimoja inaitwa bedsitter ama Studio apartment in American English, na pia Kuna one bedroom, two bedrooms na three bedrooms, unaamua mwenyewe., Tanzania mnaondoa uswazi lini?..,Chumba kimoja, kachoo kanaface chumba kishwa. Hapa plastic bag za kunyea lazima zitatumika tu.
Mkitaka msamaha pengine muamshe marehemu, ju huyo mama yenu amekalia kiti cha marehemu.Kwani hamjaomba?
Mlitupa masaa 24 tukawapuuza.
Leo siku nzima mnaomba na barua mkaandika.
Kashikishwa adabu akatupwa Ukunda.
Finyaaaaa hio chura. 🤣 🤣
Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.Downfall ya nchi hii inaenda kutokea kutokana na watu wenye akili ndogo sana inayofanya maamuzi iliyopo.
Kwamba hao wanaharakati 6, walikuwa wanakuja mahakamani kufanya nchi isitawalike??
Watanzania tumeamua kuwaacha tu wafanye ujinga wao. But Tanzania tukiamua kuanzisha online battle na hawa wakenya, haki ya Mungu wataina Kenya takataka.Mfano huu wimbo nimetumia dakika tano kutengeneza. 😂😂😂
Ni wimbo wa karibu dakika nne.
View attachment 3342204
FATWAAA!🤣🤣🤣Finyaaaaa hio chura. 🤣 🤣
Wimbo ni mrefu ngoja niweke audiomack nikupe link. 😂😂😂Watanzania tumeamua kuwaacha tu wafanye ujinga wao. But Tanzania tukiamua kuanzisha online battle na hawa wakenya, haki ya Mungu wataina Kenya takataka.
Kuna vichaa wa UVCCM wametapakaa kila kona ya Tanzania. Walitulizwa na kuambiwa waacheni.
Uzuri wa Tanzania vijana wapo Controlled na wanasikiliza viongozi wao.
Nipe hiyo link kisha niwapatie dogs. Lakini nakuomba kwenye Wimbo huo usimuhusishe Ruto maana tunaheshimu viongozi wa nchi zingine.Wimbo ni mrefu ngoja niweke audiomack nikupe link. 😂😂😂
Watahangaika sana kutuvuruga lkn hawatoweza, Mkenya anakuwa upande wako jiulize mara mbili haya majamaa ni manafiki sana.
Tanzania haina taasisi.Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.
Wacha niufunge huu mjadala mkuu.
Tanzania inafahamika ina madhaifu yake ila taasisi yake sio dhaifu kiasi iruhusu nchi ipate downfall.
Hapa ndio akili zilipopishana na maisha. Endelea kuwa mtumwaPole walala uswazi., usipotee njia tafadhali 🤣.,chumba kimoja inaitwa bedsitter ama Studio apartment in American English, na pia Kuna one bedroom, two bedrooms na three bedrooms, unaamua mwenyewe., Tanzania mnaondoa uswazi lini?..,
Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.
Wacha niufunge huu mjadala mkuu.
Tanzania inafahamika ina madhaifu yake ila taasisi yake sio dhaifu kiasi iruhusu nchi ipate downfall.https://www.instagram.com/reel/DJ9aDYksvDQ/?igsh=dTl6ZzI5Ymh0dmN1
Waziri wa Ulinzi anasema wanajeshi ni wa kufa tu.
Kuna Nini ya maana hapo nivuke nipate!Aren't you forgetting something that your country is a third world country as well?.
If you say so, Na wewe vuka boda uje ukosoe huku. Uone namna unanyonywa ma.vi.