Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka tuone siyo maneno kijana.









Nimeona hapo basement mkuu, ruka sana debe msimu huu sikukuu + Holiday, starehe juu ya starehe tunakula raha!
Hizi siku tatu zilizopita kwa kweli sijui niseme nini,
Leo nimetulia tu maskani sipokei simu ya yoyote na sitaki kwenda kokote,
Raha za dar zinaweza kukutoa roho walai.
 
Once again am asking,btn UHURUTO na PLATINUMZ,who makes headlines on kenyan media?
Unaipatia gazeti la Kenya umaarufu huko Tanzania na Nina uhakika hapa JF hakuna Mkenya yeyote anajua hata vile gazeti zenu zinakaa.
 
Castle Lounge - Dar es salaam Tanzania





 
Akira Lounge & Bar - Dar es salaam Tanzania








 
Samaki Samaki - Dar es salaam





 
Huku Tanzania huwezi kuta neno Kenya katika gazeti lolote lile, hata Uhuru Kenyatta hakuna gazeti linataja jina lake, wasanii wa Kenya ndiyo hawajulikani kabisaa
Lakini gazeti la Kenya lina following huko mfano ikiwa your likes hapa JF.
 
Unaipatia gazeti la Kenya umaarufu huko Tanzania na Nina uhakika hapa JF hakuna Mkenya yeyote anajua hata vile gazeti zenu zinakaa.
Hivi mko na platform kama jf ambayo watz wanajadili kwa wingi kama ilivyo kwa wakenya humu jf??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…