babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,453
- 36,096
Mzee hakuna mwenye akili ndogo. Kama umeshindwa kuelewa usiwaite wenzio wanaakili ndogo. Tuliza k3nde zako.Downfall ya nchi hii inaenda kutokea kutokana na watu wenye akili ndogo.sana ya kifanya maamuzi iliyopo.
Kwamba hao wanaharakati 6, walikuwa wanakuja mahakamani kifanya nchi isitawalike??
Kwenye TV channel gani au redio gani as you claimed?Kwani hamjaomba?
Mlitupa masaa 24 tukawapuuza.
Leo siku nzima mnaomba na barua mkaandika.
Kashikishwa adabu akatupwa Ukunda.
Ashukuru wazee wamempa free road trip na home tourism huko ukundu πππ ila kwanini ukundu na hawezi kutembea πKijamaa walikichukua na boda boda wakakitelekeza huko vichakani mpakani mwa kundurenda. π€£π€£π€£.
View: https://www.instagram.com/p/DJ85ZW5N12L/?igsh=MXVma2lzMmxwbm1zeQ==.
Unabisha nini? be specific.Kwenye TV channel gani au redio gani as you claimed?
UtakufaMzee hakuna mwenye akili ndogo. Kama umeshindwa kuelewa usiwaite wenzio wanaakili ndogo. Tuliza k3nde zako.
mwezi wa nane hapana aisee! hizo ni sounds!Huku tunapiga tu. Outer ring road Dodoma kukamilika mwishoni mwa mwezi wa 8. Ni zaidi ya 120Km
View: https://youtu.be/bokUdQ3GvDY?si=5UXwnxakkvjQOhVz
Yes Kuna a massive mall coming up but iko on your way to Elgon View, the massive construction in Pioneer estate, Eldoret ni affordable housing wachana na huyo fala mwenye amepost hiyo clip, huyo amevuta na kutafuna vitu zake π€£π€£π€£., was here a month ago..,
Wimbo umetengenezwa na AI, Sio mtu halisi.
TAYARI!!!Wanasema hawezi kutembea vizuri
hadi ashikiliwe, sijui vijana wamemfanya Nini
View: https://x.com/kenyasgossips/status/1925505998153728451?t=70syQeWaLyXTAni7lp6K2g&s=19
Watu walioshindwa maisha wanasumbuka sana.Wimbo umetengenezwa na AI, Sio mtu halisi.
Chumba kimoja, kachoo kanaface chumba kishwa. Hapa plastic bag za kunyea lazima zitatumika tu.Yes Kuna a massive mall coming up but iko on your way to Elgon View, the massive construction in Pioneer estate, Eldoret ni affordable housing wachana na huyo fala mwenye amepost hiyo clip, huyo amevuta na kutafuna vitu zake π€£π€£π€£., was here a month ago..,
View attachment 3342181
View attachment 3342182
View attachment 3342184
View attachment 3342183
View attachment 3342180
Pole walala uswazi., usipotee njia tafadhali π€£.,chumba kimoja inaitwa bedsitter ama Studio apartment in American English, na pia Kuna one bedroom, two bedrooms na three bedrooms, unaamua mwenyewe., Tanzania mnaondoa uswazi lini?..,Chumba kimoja, kachoo kanaface chumba kishwa. Hapa plastic bag za kunyea lazima zitatumika tu.
Mkitaka msamaha pengine muamshe marehemu, ju huyo mama yenu amekalia kiti cha marehemu.Kwani hamjaomba?
Mlitupa masaa 24 tukawapuuza.
Leo siku nzima mnaomba na barua mkaandika.
Kashikishwa adabu akatupwa Ukunda.
Finyaaaaa hio chura. π€£ π€£