Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko na design?
Nafikiri ni hii.
IMG_3862.jpeg
 
Shida huyo jamaa pia amekuwa akitukana sana Rais wa Kenya na serikali yake kwenye mitandao ya Kijamii, sijui Kasongo kama atajigusa kumsaidia, kwa kifupi ameyakanyaga.

Hiyo ndio nzuri...waitumie kama leverage katika exchange ya Intel kwa hawa wachafuzi wa taswira za viongozi na nchi.... Kama walovyofanikisha kumuuza besyggggee...

Leo wanajidai ni watetezi wa haki blaa blaa... Toka lini snitch akawa mtetezi!? Tena snitch mwenye njaa Kali..
 
Huwenda watamuonea huruma kaka😂😂😂😂.
Mtoto akinyea kiganja hukikati bali wakikosha.
Natamani tu wamwonee huruma, especially yule dada wa Uganda.. sema wasijeleta pua zao huku Tena.
By the way wakunya huwa wepesi sana kusahau,
Kuna media Moja kubwa zaidi huko Kenya (Citizen) walijichanganya kwa chuma JPM na walilazimishwa kuomba msamaha kwa JPM wiki nzima non stop, yaani wanaomba msamaha Kila siku mfulilizo kwa siku Saba na walifanya hivyo.
 
Nakumbuka. 😂😂😂

View: https://x.com/feddie_55/status/1250462468041773057?s=46
 
Back
Top Bottom