Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

XKALIBER tueleze
Hii kitaalamu inaitwaje?

1747772348316.png
 
unao waita mang'aa wanamponda Mama yenu seriously na hakuna kitu mnafanya..mumezubaa tu 😁 😁 . why can't you people retaliate if you have the balls to do so?
Wako nje ya Tanzania wangekuwa ndani ya mipaka ya Tanzania ungeona moto wake , mnataka tuje kuwabebea kwenu mseme tumewaingilia😝😝😝😝.
Huo uwezo upo ila tunaheshimu mipaka na kama mnabisha subirini , sisi Huwa ni kimya kimya tu
 
Amri imeshatolewa. Utasikia tu sauti gizani.
 
unao waita mang'aa wanamponda Mama yenu seriously na hakuna kitu mnafanya..mumezubaa tu 😁 😁 . why can't you people retaliate if you have the balls to do so?
Kwanza unatakiwa ujue kwamba security organ za tZ hazina njaa kama zenu. Mfano usalama wa taifa ngazi ya bachelor sharti uwe na gari na mafuta lazima yawe full tenk muda wote , hutakiwi kulia njaa ndo maana huwez sikia majambazi Tanzania kwa miaka hii sasa unahisi tunashindwa kuja kumbeba mmoja wenu huko na kumzimisha kwenye kiroba🤣🤣😝
Mkae kwa kutulia la sivyo hata huyo ruto tutaendelea kumuweka tu.
Kumbukeni museveni kagame, nkurunzinza walitokea tZ.
Chapo wa msumbiji alitokea hapo Palma akiwa mkuu wa wilaya baada ya sisi kuaccess ndo akapata urais 🤣🤣🤣
 
unao waita mang'aa wanamponda Mama yenu seriously na hakuna kitu mnafanya..mumezubaa tu 😁 😁 . why can't you people retaliate if you have the balls to do so?

Hahaha poor souls..

Yani kwa ku post huko mtandaoni ndio tayari mmesumbua nchi!

Hebu Leo muanze ku post Uganda waondoke Migingo halafu tuone kama watatoka kwa post zenu hizo.
 
Hahaha poor souls..

Yani kwa ku post huko mtandaoni ndio tayari mmesumbua nchi!

Hebu Leo muanze ku post Uganda waondoke Migingo halafu tuone kama watatoka kwa post zenu hizo.
Hawa wanaendekezwa tu, wanatakiwa wakutane na fanya fujo uone wakiwa washavuta zao sigara Kali Tena waliotoka depo, ili wawafanyie mazoezi
 
Wanadhani kutukana viongozi ndiyo Uhuru, yn wao kila kitu wanachofanya wazungu ndiyo demokrasia, hawatokuja kuendelea hata siku moja. Tutawaacha hapa hapa na ujinga wao.
Wazungu hawatukani viongozi wao Wala kuvamia bunge na kuiba ubwabwa, na hutaona live bullets kwa raia kwenye nchi civilized, Kenya kipindi Cha maandamano ya gen z pekee death toll ilifika almost 200 , gen z walilimwa live bullets na police kama vile wanapiga Al shabaab au majambazi sugu,
Infact jamii ya wakenya is uncivilized, no one is responsible for anything.
 
Back
Top Bottom