concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,002
- 15,475
Kumbe ndo mnadanganywa hivyo haya hiyo within two minutes nimeweza accessIf that were the case sisiemu haingefunga X. Tell me, are you able to access X hapo Tandale right now?
Vukeni basi tuwaone mbona mnapiga kelele mkiwa mmejifungia ndaniWewe kenge mnyonge wacha tuwaonyeshe vile mambo yanafaa yawe
Good luck on arresting fake culprits just to save the face of your incompetent police.Mwandiko wa Mtanzania huu, wait and see, all the hooligans will be held under the police custody in no time. I am not Mama's fan but we need to stop madness. The same way we did to those stupid kunyan clowns from murima kenia.
Ameacha kabisa Kubinya Kengele za Watopestanπ@ichoboy01 naona siku hizi umemua kukaa mbali na drama, uta post gari zako na kuishia.
Rais ametutoka ni kiswahili cha bongo? π€£π€£π€£Mwandiko wa Mtanzania huu, wait and see, all the hooligans will be held under the police custody in no time. I am not Mama's fan but we need to stop madness. The same way we did to those stupid kunyan clowns from murima kenia.
Kama bedsitter tu ni million 20 hiyo 3 bedrooms ya million 200 kuna mwanakibera yupi atamudu? ππ Na kama mnauziwa bei ghali ivo zile pesa mlikua mnakatwa zilikua za kazi gani?Ni bedsitters tu ndio umeona yet kuna manyumba hadi 3 bedrooms.
X gani imefungiwa mbona mimi niko naperuzi hapa!If that were the case sisiemu haingefunga X. Tell me, are you able to access X hapo Tandale right now?
Personal property ya a certain EuropeanTatu city with economic value more than Magufuli apartments estate Dodoma..,
View attachment 3340213
View attachment 3340215
View attachment 3340216
View attachment 3340229
View attachment 3340220
View attachment 3340221
View attachment 3340222
View attachment 3340223
View attachment 3340225
View attachment 3340226
View attachment 3340227
View attachment 3340228
Ni wapi umeona wanafaa kulipa 20 million one off for a bedsitter? Punguza kuropokwa.Kama bedsitter tu ni million 20 hiyo 3 bedrooms ya million 200 kuna mwanakibera yupi atamudu? ππ Na kama mnauziwa bei ghali ivo zile pesa mlikua mnakatwa zilikua za kazi gani?
Wakundustan hivi hivi ndio mlidanganywa Magufuli yupo naislum hospital ππTunataka hii FATWA whatever the hell it is, ailete haraka anangoja niniπ€£π€£ kwani iko niniπ€£π€£π€£π€£π€£π€£.,
View attachment 3340336
Hii ndo unataka tuite EPZ sio?Kwahiyo siyo City ila ni EPZ??
Mmezoea kudanganywa kila siku, mpaka mmezoea
Yaani wao kumpiga Rais na kiatu, kuvamia bunge, kupiga magari mawe na kuchoma mali, kutukana viongozi mitandaoni ndio political advancement yao πππ ila bado ufisadi unaendelea, hawana ajira, uchumi upo mortuary, njaa kila mahali, nchi inaendeshwa kwa madeni na misaada yote hayo kwa fresh ila angalau tulimpiga Ruto na kiatu usoni ko tumemuweza we're good, we're unbeatable, sisi ni vichwa ngumu ππππKenya ni sawa na vichaa,uhuru kwao eti ni kutukana hovyo watakavyo kwa mtu yeyote.
Uhuru ni kusimama kwa hoja na kupiga kelele kwa hoja sio matusi.
Hakuna kigezo chema kutoka kwao ni vichaa tu hawa.
Hapa ulitakiwa kumjibu huyo mwenzako.Hii ndo unataka tuite EPZ sio?
View: https://www.youtube.com/watch?v=C2yHuYn4Jjc&ab_channel=SafariWithDanny
Hivyo ndivyo wanavyodanganyana toka kipindi cha Magu ππ wanafake tweet kama ivo na kuzisambaza na wote wanaziamini nchi nzima ndio ujue hawa watu walivyo wapumbavuHakuna sehemu Rais amesema hivi, epuka fake news za kutafutia engagement kwenye mitandao ya kijamii.
Ninyi watu mna idle time kweli, kuna watu wengi Tanzania hata hawajui chochote kuhusu hili saga lakini Kunyaland mpaka mama mboga anajua tarehe ngapi lisu ana next hearingView attachment 3340407
View attachment 3340408
View attachment 3340409
View attachment 3340410
Hadi mkenya mwansiasa mang'aa anamtetea baada ya KoT kusalimia mama,π€£π€£π€£π€£
View attachment 3340411
View attachment 3340415
View attachment 3340416
View attachment 3340417
View attachment 3340418
View attachment 3340419
View attachment 3340424
View attachment 3340423
View attachment 3340417
FATWAAAAAA!!!!!!!.,