Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Kwahiyo kaka unaunga mkono mambo yetu ya nchi yaingiliwe na mataifa mengine.? Unajua suala hilo linamaana gani kitaifa.? Ushawahi kuona wapi wachina wameenda kuingilia mambo ya India.? Hopefully taratibu unazijua. 👇🏾Chombo kinachoweza akiamua kwamba huu ni uhaini au sio uhaini ni mahakama tu na bahati nzuri mahakama hiyo ipo Tanzania, Ina mahakimu watanzania, mawakili wa kitanzania walinzi wa kitanzania.
Inakuwaje mpaka Leo Tena kwa ushahidi huo unaosema ni video mkaogopa kusiwe na uwazi wa baadhi ya watu wa mataifa mengine kuhudhuria.
Kumbuka hapo mawakili na unaowaiita wanasiasa hawatakiwa na uwezo wa kusimama mahakamani zaid ya kusikiliza .
Kuweni professional buana.
Kila siku hapa tunawasema wakenya ila bado hata vitu vidogo ambavyo vingeendelea kutuwekea heshima ya kuwa kisiwa cha amani tunashindwa kuvimantain.
Hivi wakati mnawahifadhi wapigania uhuru wa msumbiji, south Africa ,Uganda na kadhalika haikuwa kuingilia mambo ya nchi nyingine.
Tuache uchawa hii nchi ikiharibika kama mnavyotaka iende tutaumia wote na hata wewe ambaye unatetea uchawa
Wewe una ujanja gani mungiki.? 🤣🤣🤣 nenda katahiriwe huko kwanza.Slipway ni pa wananguaji viuno. Hakuna mall pale. Ona walivyovaa kanga za sisiemu viunoni wakisubiri kunengua viuno ndani ya mall!! 🤣🤣
View attachment 3339707
Ushamba reloaded!
Mimi nikionaga tu upinzani wanalamba sana wazungu matako naona hapo hamna upinzani.JPM alieleza hadharani habari hizi.. wakati ule jamaa alijaribu kumpinga JPM karibu katika kila alichofanya, yeye ni mmoja kati ya Raia wapumbavu waliojaribu kulidhohofisha shirika letu la ndege kwa kupinga manunuzi ya ndege zile Bombadier Q400, alifanya kila jitihada kudhohofisha marekebisho ya sheria za madini Tz, sasa je huyo mtu analitakia mema taifa..? Sasahivi tunajivunia maendeleo ya nchi yetu, hispitali, shule, madini, miundombinu ya barabara, reli na madaraja, shirika letu la ndege ni kuubwa sasahivi.. JPM asingekua ngangari kijamaa kingemyumbisha. lazima tutangulize Tanzania kwanza kaka, mimi simuungi mkono mama, lakini likija suala la Tanzania yangu nitamuunga mkono bila kupepesa.
Umesahau wakundustan pia wanatumika kupinga bomba la mafuta la Afrika mashariki sio watu kabisa wa kushirikiana nao kwenye lolote, pia serikali yao iliunda task force ya kudrain dollars Tanzania, walikua wanakuja Tanzania kununua dollars tu na kupeleka nchini kwao kutokea Arusha, Manyara na KilimanjaroUnajua wakenya kwa sasa hawana cha kupoteza. Ogopa sana kukaa na mtu aliyekata tamaa na maisha. He/she can do anything.
Just imagine wakenya wanenda Uganda kujiandikisha kupiga kura. Wanakuja kwa wingi Tanzania kufanya siasa. Halafu unaona kabisa kuwa ni coordinated agenda.
Baada ya kufanya tukio mitandao ya kijamii wanapiga kelele kila kona. Very stupid na unaona kabisa they are paid to do that. Wanalipia mitandao ya kijamii ili taarifa zitembee.
Ndio mbinu hiyo hiyo waliyoitumia wazungu zambia na kukiangusha chama tawala
Uzuri vitu vipo humuhumu je hizi sio hasara tulizoingia.JPM alieleza hadharani habari hizi.. wakati ule jamaa alijaribu kumpinga JPM karibu katika kila alichofanya, yeye ni mmoja kati ya Raia wapumbavu waliojaribu kulidhohofisha shirika letu la ndege kwa kupinga manunuzi ya ndege zile Bombadier Q400, alifanya kila jitihada kudhohofisha marekebisho ya sheria za madini Tz, sasa je huyo mtu analitakia mema taifa..? Sasahivi tunajivunia maendeleo ya nchi yetu, hispitali, shule, madini, miundombinu ya barabara, reli na madaraja, shirika letu la ndege ni kuubwa sasahivi.. JPM asingekua ngangari kijamaa kingemyumbisha. lazima tutangulize Tanzania kwanza kaka, mimi simuungi mkono mama, lakini likija suala la Tanzania yangu nitamuunga mkono bila kupepesa.
Vipi ccm hawalambi 🤣🤣🤣🤣Mimi nikionaga tu upinzani wanalamba sana wazungu matako naona hapo hamna upinzani.
Napata ukakasi sana vipi wakipewa madaraka na namna wanalamba hawa wazungu matako itakuwaje!
Si ndo wataturudisha kule kule!
Maana lazima walipe fadhila za wazungu waliowasaidia kuwepo pale. 😂😂😂
Faida ni nyingi kuliko hasara.Sasa unachotetea nini je ni kweli hatukushindwa kesi na kama kweli alikuwa mzalendo kweli kwanini haku deal na waliingia hii mikataba.
Yaan mnaingia mikataba ya kipumbavu wenyewe yakiwafika mnatafuta mlango wa nyuma ili muonekane wazalendo🤣🤣🤣🤣
Subscribe
Kitaifa
Serikali yashindwa kesi, yatakiwa kulipa fidia Sh260 bilioni
Jumanne, Julai 18, 2023
By Kelvin Matandiko
Mwandishi wa habari
Mwananchi
Muktasari:
Serikali imetakiwa kulipa fidia ya dola 109 milioni (Sh260 bilioni) kwa Kampuni ya Indiana Resources iliyoshinda kesi katika Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji (ICSID) baada ya kujiridhisha uwepo wa ukiukwaji wa mkataba wa uwekezaji katika Mradi wa Nikeli wa Ntaka Hill mwaka 2018.
Serikali yashindwa kesi, yatakiwa kulipa fidia Sh260 bilioni
Mgogoro huo unachagizwa na marekebisho ya Sheria ya Madini ya 2017, ambayo pamoja na mambo mengine, ilifuta misingi ya kisheria ya umiliki wa leseni ya kuhodhi eneo la madini katika kipindi cha...www.mwananchi.co.tz
Sasa kipi bora.? Hizi hasara tunazojua kiwango chake au kuruhusu ule wizi wa madini wa barick ambao hatujui kiwango chake ni kiasi gani, na ungekuepo vizazi na vizazi.? Heb tujaribu kuwa wakweli jamani.Uzuri vitu vipo humuhumu je hizi sio hasara tulizoingia.
Alichotahadharisha lisu hakikutokea
Tanzania yashindwa kesi, yakubali kuilipa fidia Kampuni ya Montero Tsh. Bilioni 71 kwa kukiuka Masharti ya Mkataba
Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kwa kukiuka masharti ya mkataba. Inadaiwa kuwa tayari Novemba 20, 2024, Serikali imeshalipa Tsh. Bilioni 30 na zilizobaki inatakiwa...www.jamiiforums.com
Hivi kati zile ndege mpya ngapi zimepaki ? Kwa kukosa vipuri , hivi tungekuwa tumenunua kwa mkopo unadhani muuzaji angekubali msipate vifaa kwa wakati ili mumlipe deni lake ?JPM alieleza hadharani habari hizi.. wakati ule jamaa alijaribu kumpinga JPM karibu katika kila alichofanya, yeye ni mmoja kati ya Raia wapumbavu waliojaribu kulidhohofisha shirika letu la ndege kwa kupinga manunuzi ya ndege zile Bombadier Q400, alifanya kila jitihada kudhohofisha marekebisho ya sheria za madini Tz, sasa je huyo mtu analitakia mema taifa..? Sasahivi tunajivunia maendeleo ya nchi yetu, hispitali, shule, madini, miundombinu ya barabara, reli na madaraja, shirika letu la ndege ni kuubwa sasahivi.. JPM asingekua ngangari kijamaa kingemyumbisha. lazima tutangulize Tanzania kwanza kaka, mimi simuungi mkono mama, lakini likija suala la Tanzania yangu nitamuunga mkono bila kupepesa.
Upinzani wenyewe wa kuwaondoa CCM uko wapi? Tunahitaji upinzani madhubuti wenye spirit ya nationalism, hawa wapumbavu wanaona Kunyaland ndio their fantasy dreamland unaona tu mawazo yao yalivyofinyu na hawana msaada wowote kwa watanzania.Kwa hili acha waje watusaidie maana bongo tumeshidwa bila kuwapa joto ccm hatuwezi kuwaondoa kwa kura
Huyu nilimuwekaga ignore kwa sababu ya siasa za uchawa humu. 😂😂😂Kwahiyo kaka unaunga mkono mambo yetu ya nchi yaingiliwe na mataifa mengine.? Unajua suala hilo linamaana gani kitaifa.? Ushawahi kuona wapi wachina wameenda kuingilia mambo ya India.? Hopefully taratibu unazijua. 👇🏾View attachment 3339710kama watanzania wataamua kumtetea basi sio dhambi kufanya hivyo kimahakama, but i will never support outsiders interference. Kwahiyo hao raia wa kigeni wakae mbali sana na hili, kwasababu kimsingi Lisu anayo makosa, na wala hajaonewa.
Kwahiyo waliongia mikataba walikuwa kina lisu sio nyinyi ccm Tena .wakati wanapinga kutoingia mikataba hiyo madini SI mlikuwa mnawasurubu .Faida ni nyingi kuliko hasara.
Kuvunja mikataba ya ovyo ni bora kuliko kuendelea kukumbatia mikataba ya ovyo.
Endeleeni kumtetea huyu msaliti wa nchi.
Saccos ni ujamaa we duanziDoes Tanzania have Saccos ( or similar) like Kenya where individuals can access credit for self empowerment.
Nyinyi mnataka upinzani wa kuwalamba matako kama ule wa mbowe huuu wa safari hiii mtanyooka tuUpinzani wenyewe wa kuwaondoa CCM uko wapi? Tunahitaji upinzani madhubuti wenye spirit ya nationalism, hawa wapumbavu wanaona Kunyaland ndio their fantasy dreamland unaona tu mawazo yao yalivyofinyu na hawana msaada wowote kwa watanzania.
Aliyeingia mikataba ni awamu ya JPM?Kwahiyo waliingia mikataba walikuwa kina lisu wakati wanapinga kutoingia mikataba hiyo madini SI mlikuwa mnawasurubu .
Inakuwaje mtu imeingia mwenyewe baada ya kuona maji moto unalazimisha kutoka kwa kuvunja taratibu matokeo yake unamlipa mtu gharama zake za uwekezaji wakati huko NYUma ashavunq vya kutisha nani chizi🤣🤣🤣🤣
china, world bank, IMF na japan ni deni ya wakenya au sio 😂😂😂😂😂Debt ni za wakenya so sioni shida hapo, Tanzania deni ni ya foreigners.
subiri uone!Huo ndio ushahidi kuwa "wameahidiwa kuwa watapewa viti"?
Kwanza wamempa hifadhi huko kwao, halafu wanam fund kila kukicha, akina Amstadam ndio watetezi wake, watanzania wenzetu eti wanamuunga mkono bwana lisu, halafu hao hao kwa unafki wanamuunga mkono pia bwana Traore eti wanachukia wazungu kwa kutaka kumng’oa. 🤣🤣🤣 nchi ina waduanzi hii. Wazungu wanaomuunga mkono Lisu ndio hawa hawa wanaompinga Traore..Mimi nikionaga tu upinzani wanalamba sana wazungu matako naona hapo hamna upinzani.
Napata ukakasi sana vipi wakipewa madaraka na namna wanalamba hawa wazungu matako itakuwaje!
Si ndo wataturudisha kule kule!
Maana lazima walipe fadhila za wazungu waliowasaidia kuwepo pale. 😂😂😂
Kwa hiyo sio serikali ya ccm? Wakati hiyo mikataba letsay ya madini yeye hakushiriki kwenye cabinet kama alikuwa anaona haifai mbona hatukwahi msikia akipinga hata bungeni🤣🤣🤣🤣Aliyeingia mikataba ni awamu ya JPM?
Unamaanisha hii serikali ambayo kila raisi akija anakuja na vipaumbele vyake! Au kuna nyingine!Kwa hiyo sio serikali ya ccm? Wakati hiyo mikataba letsay ya madini yeye hakushiriki kwenye cabinet kama alikuwa anaona haifai mbona hatukwahi msikia akipinga hata bungeni🤣🤣🤣🤣