inamaana flyover ndio kipimo cha kujua jiji boraKenya Nairobi IMO kwenye list ya majiji bora Africa dar es salama bado sana rabda fly over zikiwa tayari zimekamilika
munavuna wakati utalii wenu umekufa kila mwaka unashuka takriban 100k tourists😀😀😀Mlima ni wenu na tutazidi kuvuna mapato miaka na mikaka na hakuna likubwa unaweza Fanya about it Labda pazia. Hapo ni shamba la bibi.
Sasa unadhani mini tena cha kujivunia kuhusu jiji letu? Muda mwengn jiongezeeinamaana flyover ndio kipimo cha kujua jiji bora
😀😀😀😀 akili ni nywele na ukiona wezio wananyolewa tia maji nywele zako
Bitter truth!Mapato gani mnayopata zaidi ya kula kwa macho?, ni kama kumuangalia mke wa mwenzako ukawa unamtamani kwa mbali, Tanzania inapata mara nne zaidi ya Kenya katika utalii. Mapato yanayotokana na mlima Kilimanjaro pekee, ni sawa na mapato yote ya utalii wa Kenya kwa mwaka.
narudia kukuuliza swali flyover ndio kipimo cha kua jiji bora, naomba unijibu kitaalamu😀😀😀😀Sasa unadhani mini tena cha kujivunia kuhusu jiji letu? Muda mwengn jiongezee
Indeednarudia kukuuliza swali flyover ndio kipimo cha kua jiji bora, naomba unijibu kitaalamu😀😀😀😀
kwanza nilisahau kukukaribisha mgeni karibu sana jamii forum mgeni wetu, asante sana kwa kufungua account mpya maana safari hii tulitegemea kuona accounts nyingi sana mpyaSasa unadhani mini tena cha kujivunia kuhusu jiji letu? Muda mwengn jiongezee
Hatuna shida ya kuweka pazia maana tunajua jirani ni mwizi tuuMlima ni wa LDC lakini Middle Income inatengeza pesa. Ni shamba la bibi literally Labda muweke pazia.
hilo ndio jibu kitaalamu asante sana na karibu sana jamii forum😀😀😀Indeed
2017 wameingia watalii over 2 million tourists
narudia kukuuliza swali flyover ndio kipimo cha kua jiji bora, naomba unijibu kitaalamu😀😀😀😀
Haha!huo ujinga ndo mlionao tukauza ng'ombe wenu, mbona mlitulia,vp vifaranga?njoo TZ na huo ujinga wa 90's tena muoneMlima ni wenu na tutazidi kuvuna mapato miaka na mikaka na hakuna likubwa unaweza Fanya about it Labda pazia. Hapo ni shamba la bibi.
Lazma mtuchukie ... Afu ci wenyewe hatuwafagilii hata chembe dats y hatutaki mje huku kihasara hasara ...maana hatupend majitu maizi kwetu
Detected[emoji23]kwanza nilisahau kukukaribisha mgeni karibu sana jamii forum mgeni wetu, asante sana kwa kufungua account mpya maana safari hii tulitegemea kuona accounts nyingi sana mpya
Kabla ya kuweka hizo soksi humu tunataka utuletee majina ya viwanda hivyo. Mimi nijuavyo ukipeleka china chochote kile wanakutengenezea. Na isitoshe kuweka maandishi kwenye sweta ni rahisi mmno vijana mtaani wanafanya hivyo kwa Tsh 1000.
Weka ushahidi kwamba sisi ni devil worshippers.wa kenya huu hapa once againHahahaha... we don't associate with devil worshippers
Hahahaha... we don't associate with devil worshippers
And yet they feed youHahahaha... we don't associate with devil worshippers