Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Lazima ukimbie hii. 🤣🤣🤣. Hebu tujaribu tuoe. Dom hiyo. 👇🏾Sawa sibishani na wewe kwa muonekano na fikra zako uko sawa tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., ehe boss🤣🤣🤣🤣🤣., lala poa
Umemaliza kupost government facilities na hoteli za Arusha, si nilikushow hunanga jipya huko Arusha.Ukitaja neighborhoods sahii Dodoma is 2 times larger than Mombasa, Dodoma ni moto wa kuotea mbali.. heb post hizo neighborhoods zako za mombasa kama hutoishia kuleta hotels 🤣🤣🤣🤣.. hiyo si hata discusion. And guess what baki hapohapo.
Kwa hivyo nikiandika hii ulikua unajifanya hujaona, nilikuambia vidole vyako hukimbia kuliko akili yako, sasa ona unakaa fala.
Better than Dodoma, Kenya hizi tumezoea in all our cities.Arusha is really beautful. A random neigborhood in Arusha. View attachment 3334095@nairobae. Vipi kuna pingamizi.? 🤣🤣🤣
Mombasa imeizidi Dar, no such vast neighborhood in Dar es Salaam kama haujaingia uswazini.., Dodoma ni villageLazima ukimbie hii. 🤣🤣🤣. Hebu tujaribu tuoe. Dom hiyo. 👇🏾View attachment 3334094hebu post zile nyumba zako ulikua unapostigi 🤣🤣🤣🤣
Arusha iko na muonekano better than Mwanza and Dodoma by far!!., meaning Tz iko down🤣🤣🤣.,Better than Dodoma, Kenya hizi tumezoea in all our cities.
Vipi kuna pingamizi huko.? 👇🏾This is the side of Arusha that you never seen it anywhere.. Olacity Arusha 👇🏾Umemaliza kupost government facilities na hoteli za Arusha, si nilikushow hunanga jipya huko Arusha.
Lia polepole usitupigie kelele.5k EVs yet hamna any EV dealership, electric buses and more charging systems than Kenya. Your EV's ziko wapi?
Iyo tatu city yenyewe mwambie akuwekee aerial view utacheka ufe, wakenya bhn 🤣 🤣 🤣 🤣Mmeshaozea kudanganywa kama majuha
Ukizipost leo utalala na viatu.. 🤣🤣🤣👇🏾 sikutishi, nakutahadharisha tu.Na bado Tudor, Kizingo, Nyali, Mtwapa., Bombolulu., boss Tanzania ni msitu bado Sama boy 255 uko na ufala kweli🤣🤣🤣🤣🤣..,
Yani bado ubapost hizi.? 🤣🤣🤣🤣 hizi ni takataka kaka mbele ya Dom..Mombasa imeizidi Dar, no such vast neighborhood in Dar es Salaam kama haujaingia uswazini.., Dodoma ni village
View: https://youtu.be/HGgvGrswc2c?si=rDn08XP0aZR7rzJy
Na kiembeni je?.., estate moja inatoshana na jiji lote la Dodoma🤣🤣🤣🤣., Wacha bangi kilaza, sio mboga!.,
View: https://youtu.be/UuGlrodo9bs?si=dZo8RIPCkjv2c4pU
Ati.? 🤣🤣🤣 nyie mnazo cities au villages.?Better than Dodoma, Kenya hizi tumezoea in all our cities.
🤣🤣🤣 sio kwa dodoma my fool brother. 👇🏾 Ilazo extention is really huge. Hebu toa kwanza tongo tongo. 👇🏾kabla sijakuletea hiyo ilazo or anywhere kaa sawa kiakili kwanzaIn Mombasa mitaa ya raiya wa kawaida, average standards, ni zaidi in vastness(upana na urefu) ya standard neighborhoods ndani ya jiji yoyote Tanzania,..,.,
Hamna jibu hadi wa leo, mitaa ya raiya wa kawaida sana, Tanzania upana huo utakua ndani ya uswazi.., Dodoma una post where fukara kama wewe huwezi kuishi🤣🤣🤣🤣., Bamburi pekee ni kubwa kushinda Dodoma yoote.., na iko njee kabisaa ya CBD., kiembeni nayo ni mbali sana., hizo mbili zimetosha kufunika Dodoma, eti mnaitaja kama city🤣🤣🤣, mtaa wa Bamburi ni kubwa ata zaidi ya Dodoma CBD, ama unabisha?🤣🤣🤣.., weka humu Dodoma CBD aerial views tulinganishe🤣🤣🤣🤣.,Yani bado ubapost hizi.? 🤣🤣🤣🤣 hizi ni takataka kaka mbele ya Dom..
Unaelezea vitu vinavyoonekana 🤣🤣🤣 heb ona mitaa zinavyotakiwa kuwa.. sio unaleta mabanda ya njiwa. 👇🏾hii ni Arusha kabla sijaanza kukumiza na hiyo dodoma.Hamna jibu hadi wa leo, mitaa ya raiya wa kawaida sana, Tanzania upana huo utakua ndani ya uswazi.., Dodoma una post where fukara kama wewe huwezi kuishi🤣🤣🤣🤣., Bamburi pekee ni kubwa kushinda Dodoma yoote.., na iko njee kabisaa ya CBD., kiembeni nayo ni mbali sana., hizo mbili zimetosha kufunika Dodoma, eti mnaitaja kama city🤣🤣🤣, mtaa wa Bamburi ni kubwa ata zaidi ya Dodoma CBD, ama unabisha?🤣🤣🤣.., weka humu Dodoma CBD aerial views tulinganishe🤣🤣🤣🤣.,
View: https://youtu.be/HGgvGrswc2c?si=rDn08XP0aZR7rzJy
Ujuaji ndio unakuanga nayo nyingi. 🤣 🤣 🤣 We all know private companies are not required by law to make their financial statements public. Enyewe critical thinking ni shida huko bongoslum.Mgumu kuelewa haya equity huwez ipata kwenye financial statements ?
Equity na debts zinapatika a kwenye financial statements ambazo kwa muda wako unaweza calculate ukapata market value ya kampuni husika.
Pili umesema kuwa tunaweza kadilia kampuni kwa mauzo , hayo mauzo unayatoa wapi kama sio kwenye income statement za kampuni husika ,sasa unawezaje sema kuwa naivas Ina mauzo wakati huna statement yoyote ya kampuni yoyote Tanzania . Na the only reliable financial information ni financial statement 🤣