Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,183
- 107,781
Kama kweli nchi yao Ina ukame hivi hela za kujenga highways kwanini zisitumike kupanda miti huko turkana na kutengeneza mifumo ya kumwagilia ili kuwapunguza watu waliopo mjini wakafanye kilimo na hela nyingi wakawekeza kwenye ulinziUongoman activated.
Hakuna MTz anayesema nchi yetu ni nyeupe.
Leta evidence.
Wakenya wengi mna upumbavu, huu eti hamna raslimali.
- Mna bandari (siyo landlocked)
- Mna Lake resources
- Forests
- Minerals
- Land
- Geothermal
- Beaches
- National parks etc
Acheni utapeli
A nation of cons
Isauw ya mabango hata sisi hatupendi, na wala hatujawaambia mtusaidie
Unataka tuje
kupiga kelele , Kunya??
Huko Turkana kuna jangwa ndio, ila siyo kwamba halizalishi.Kama kweli nchi yao Ina ukame hivi hela za kujenga highways kwanini zisitumike kupanda miti huko turkana na kutengeneza mifumo ya kumwagilia ili kuwapunguza watu waliopo mjini wakafanye kilimo na hela nyingi wakawekeza kwenye ulinzi
Hio gari ni mtu mmoja tu ndio huiona. 🤣🤣 Sawa iko Dar is a slum basi.acha ujinga inategemea gari imekuwa sourced from which country. most countries use LHD.
So you are still an LDC?😄We have already told the white fans from Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣
I remember there's a time we shared dusty roads in Masaki, their most affluent estate. Yani mtaa bora kuliko zote Tanzania kuna maeneo hayajaona lami 😂😂Eti. Utawapata wanashare lane yenye pothole Kilimani ambayo after a few months ya Wakenya kupiga kelele itarekebishwa wakati Kuna Barabara kwa affluent estates zao hazijawaai ona lami. Sewage Kila mahali.
Who told you Tanzania is an LCD?So you are still an LDC?😄
Hebu tuonyeshe hizo Barbara tuone 🤣🤣With in karen 80% of the roads hata lami hazijawahi skia. Unakosoa micheni.? 🤣🤣🤣🤣
Didn't you say you don't agree with statements from imperialists? Is it not the same imperialists who elevated your country from LDC status?Who told you Tanzania is an LCD?
What is your point here? Do imperialists elevent countries? 🤔 🤔 🤔 🤔Didn't you say you don't agree with statements from imperialists? Is it not the same imperialists who elevated your country from LDC status?
Nitapost humu mara ngapi.? 🤣🤣🤣Hebu tuonyeshe hizo Barbara tuone 🤣🤣
Huoni nimepost picha ya Mikocheni wenyewe wanasema ni uswazi. 😂😂I remember there's a time we shared dusty roads in Masaki, their most affluent estate. Yani mtaa bora kuliko zote Tanzania kuna maeneo hayajaona lami 😂😂
Hiyo lafudhi inajulikana inatoka nchi gani. 😂😂😂
OkayUongoman activated.
Endelea kuweka kichwa mchangani.Hakuna MTz anayesema nchi yetu ni nyeupe.
Leta evidence.
Wakenya wengi mna upumbavu, huu eti hamna raslimali.
- Mna bandari (siyo landlocked)
- Mna Lake resources
- Forests
- Minerals
- Land
- Geothermal
- Beaches
- National parks etc
Acheni utapeli
A nation of cons
Isauw ya mabango hata sisi hatupendi, na wala hatujawaambia mtusaidie
Sitaki mje, nataka muendelee kulala usingizi mkijiita nchi ya maziwa na asali.Unataka tuje
kupiga kelele , Kunya??
Quote mahali uliipost nioneNitapost humu mara ngapi.? 🤣🤣🤣
Ufukara wenu ni wa kiaina., mnaongoza ukanda huu, fukara zaidi ya Waganda, Burundi na Rwanda..., fikra zako ni zako.
Kwamba kila siku tunasema, then unasema tena tunaona nchi yetu nyeupe.Evidence Gani na Kila siku mnasema humu corruption ipo Kenya huko kwenu hamna?
Huo ushahidi uko wapi, wa raslimali mara 4?Sijasema hatuna rasilmali. Nimesema mna rasilmali mara nne zaidi yetu
Tunajipiga kifua wapi??na hata nyinyi wenyewe huwa mnajipiga vifua kwa hilo. Sijui ni kutoelewa huelewi ama unabisha tu kushinda mjadala.
Punguza miraa.You're simply proving my point. Mna shida ila hamna ujasiri Wala Uhuru wa kuiongelea.
Mnaandamana kupambania ndoto za Jaluo Odinga, huyo mamuita Baba.Ndio maana mkiona sisi tunaandamana ama tupo mitandaoni kulalamika mnaona mpoa vizuri kutushinda.
Hujawahi kufika TZ, kwasababu njaa kali nauli huna.Ndio maana mpo humu mnashara picha Moja Moja ya potholes Nairobi wakati mitaa yenu kama Mikocheni Kuna Barabara za vumbi na Wala hamziongelei Hadi mnaona nimepiga picha uswazini kisa wengi wenu hamna hata habari jinsi sehemu za Kifahari huko kwenu zilivyo. Kuna utofauti mkubwa sana Kati ya Kenya na Vumbistan.
Sitaki mje, nataka muendelee kulala usingizi mkijiita nchi ya maziwa na asali.