Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ngojera haisaidii wala kubadilisha kitu, bomba lina jengwa umia zaidi. 😂😂😂
 
Chinese wako na elimu, sio makapuku, mikwara na zezeta chawa kama Mtanzania 🤣🤣🤣🤣🤣, usijifananishe na mchina., kwa mkenya huwezi ukasimama wima, wanyonge nyie., 🤣🤣🤣
 
Nyinyi mmeendelea wapi sasa 🤣🤣🤣🤣.? Kuendelea ni kujua kutukana matusi.
Kuendelea mnashindwa lipa salary?
Kuendelea mnashindwa Linda mipaka yenu?
Kuendelea ni kushindana kwa makabila😝😝😝😝
 
Sasa umaskini wa huyu dogo utaulingamisha na umaskini wa mkenya.? 🤣🤣🤣🤣 dogo kakosa kusoma lakini anamiliki ardhi na anamiliki mifugo pia, dogo ni mchungaji.. hapo kakosa maarifa ya namna ya kutumia rasilimali zao. Maskini wa kenya hana kila kitu.
 
Follow the thread, unajibu tu fwaaaa kama mtu hajaenda shule. Unareply tu ju ukona vidole, tumia akili kwanza.
 
Chinese wako na elimu, sio makapuku, mikwara na zezeta chawa kama Mtanzania 🤣🤣🤣🤣🤣, usijifananishe na mchina., kwa mkenya huwezi ukasimama wima, wanyonge nyie., 🤣🤣🤣
Sasa mbona unashindwa simamia hapa mpaka unakimbilia matusi. Kumbe curriculum yenu inafundisha ili uelimike ni kujua kutukana matusi?
Unashindwa tetea hoja tu hapa unasema umeendelea?
Nyinyi ni maskini na mnaa njaa na kawaida ya mtu maskini Huwa kujikweza kama wewe ila ukweli huna hata pa kulala🤣🤣🤣
 
Does it mean wanafanikiwa kuficha 100%, unajua maana ya kusupress. Kama hii ndio akili unatumia kuvuka barabara, wewe utakuja kugongwa na mkokoteni. 🤣🤣
Tanzania inaficha habari halafu unapost habari za Tanzania pumbavu kweli! 😂😂😂

Kwanini serikalini yenu inaficha taarifa ya manyanyaso wanayopitia wakunya wanaoishi karibu na kambi za majeshi wa mabwana zenu?
 
Hii ngojera haisaidii wala kubadilisha kitu, bomba lina jengwa umia zaidi. 😂😂😂
Issue haikua bomba kujengwa ama kutojengwa, ni fikra zenu potovu eti Kenya inawaonea ila it's one activist, who opposes anything that undermines environment, be it in Kenya or Tanzania, nyie mnasoma hujuma tu(u are merely reading mischief), wajinga kweli., fikra za kifukara hizi, can't understand a thing, ndio jamii zenu zilivyo, mtu akikukosoa wewe unaona hakutakii mema., ndio mnaoneana wivu wenyewe kwa wenyewe na kurogana na kuuwa albino., laana ya ukoo hii🤣🤣🤣🤣
 
Hizi taarabu za Mombasa kwa mapapai baki nazo huko.
Sina muda wa kusoma taarabu.
 
Fikra potovu❌ fikra potofu✅. 🤣🤣🤣 weww nenda kwanza kajifunze maneno unatupigia kelele humu
 
Acha kupaniki dogo, hapo ni dalili za kuishiwa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…