concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Sasa umezipataje mfano ?Very few, huoni hata wenzako wana complain kupata habari kama hizo bongoslum ni ngumu.
Binafsi siyo muumini wa majumba ya aina hiyo.Yeah easy , hela ndo kila kitu unaweza hamisha watu ukajenga low cost housing ukawapeleka makazi mapya unatenga like 300mil usd wizara ya ujenzi ndani ya miaka mitano umeondoa slums, kama tunaweza kufufua ATCL hii haiwezi kutushinda
Kwahiyo hao wachache mbona hawakamatwi,🤣🤣🤣🤣Very few ndio wanachapisha, wengi wanaogopa including vyombo vya habari ambao wako Kwa mfuko ya CCM.
After Ug kukataa bomba kupita kwenu ndo mnaona "objectivity"Mjinga ni yule haoni objectivity, anadhani anaonewa wivu, hamjazoea kupingwa by activists, hawana mapendeleo or bias, niondolee upumbavu wenu wa kifukara, nyambaff..,
Acha watu wajenge Kila mtu kwa style yake serikali ifanye KAZI tu ya kurahisisha upatikanaji wa kipatoBinafsi siyo muumini wa majumba ya aina hiyo.
Hiyo ni CONCRETE jungle.
Tusijekuwa kama MISRI.
View attachment 3333378
Mombasa ni tanga iliyochangamka.
Wakikamtwa wanafaa kukuambia ama? The big elephant in the room should be why it's under reported.Kwahiyo hao wachache mbona hawakamatwi,🤣🤣🤣🤣
So mtu moja ni Kenya eti?, tafuteni elimu bora, itawasaidia kushirikisha ubongo kwa hoja, mnakurupukaga tu ovyo ovyo bila uelewa., you are a pathetic lot!🤮🤮🤮.,Mnatakiwa kujali ya kwenu na sio kujifanya mnajua kuchungulia ya wengine😝😝😝😝😝
Lingepita usingesikia keleleAfter Ug kukataa bomba kupita kwenu ndo mnaona "objectivity"
Unaona namna unaruka ruka mjinga wewe.
Mafukara wenye jiggers ninyi.
Media are owned by their respective owners for their agendas.🤣🤣🤣 Ebu ona mwenzako anasema nini.
View: https://x.com/CharlesJSwai1/status/1891737880894001590?t=WkKlIbA7tsFZs0oPXWViKw&s=19
Zama za mitandao ya kijamii unafichaje taarifa mbona hutaki kujibu?Very few, huoni hata wenzako wana complain kupata habari kama hizo bongoslum ni ngumu.
Kwa taarifa wajue tu bomba linajengwa, kelele zao hazisaidii kitu.Lingepita usingesikia kelele
The media still controls the narrative. Wacha kujifanya fake woke na a very small percentage of your population ndio wanamiliki smartphones.Media are owned by their respective owners for their agendas.
Dunia ya smartphone, bado unalia lia na media??
Nimekuambia it's under reported, Sasa wewe jiulize kwanini?Zama za mitandao ya kijamii unafichaje taarifa mbona hutaki kujibu?
Zea isi no povati in Tanzania.😂Wenzako wanakubali poverty in the villages in Bongoslum is unreported. Wewe unapinga.
View: https://x.com/unclethomass/status/1891562425612181649?t=su8ukEMF6uFu9yHISYcQWQ&s=19
View: https://x.com/dl_mnsh/status/1891591682631643204?t=iMAd-uVHR0YR4T7xoMnByw&s=19
View: https://x.com/Jacquel95155911/status/1891550458998558791?t=9W0dgBTj4WqYdh-nfkT-RQ&s=19
Elimu ilitakiwa iwasaidie kunyanyuka na tulitegemea mngeondokana na njaa na nyumba za tembe kabisa lakini usomi wenu ni WA kuongea na kulaumu na kutafuta visingizo na kujua kutukana🤣🤣🤣.So mtu moja ni Kenya eti?, tafuteni elimu bora, itawasaidia kushirikisha ubongo kwa hoja, mnakurupukaga tu ovyo ovyo bila uelewa., you are a pathetic lot!🤮🤮🤮.,
Mpumbavu ni mpumbavu walai 🤣🤣🤣🤣., ata kama ingepita Kenya wale environmentalists wangepinga tu, kweli mko na ujinga wa ukoo walai, ndio maana hamjawai kuendelea kimsingi, yaani kijamii., mko hovyo kweli, kwa hizi fikra sasa nawaelewa, will never dispute, mko hivyo, ni ukoo wenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣After Ug kukataa bomba kupita kwenu ndo mnaona "objectivity"
Unaona namna unaruka ruka mjinga wewe.
Mafukara wenye jiggers ninyi.
Karudi darasan kwanza ujue maana ya elimu🤣🤣🤣🤣So mtu moja ni Kenya eti?, tafuteni elimu bora, itawasaidia kushirikisha ubongo kwa hoja, mnakurupukaga tu ovyo ovyo bila uelewa., you are a pathetic lot!🤮🤮🤮.,
Tanzania inaficha habari halafu unapost habari za Tanzania, Umezitoa wapi?Nimekuambia it's under reported, Sasa wewe jiulize kwanini?