Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lunatic Lusematic shitt
SC20171226-203934-1.jpg
 
Boxing day inawapeleka vipi....hata mimi ndio na recover from hang over ya jana....hiyo konyagi ya Tanzania iliniweza kweli
 
Hata mifugo na wanyama pori akina ngedere hawakusazwa krismasi hii dah, utadhani yesu kazaliwa huko bongo mazee...mmetishaa
tapatalk_1509548820910.jpeg
tapatalk_1509548803103.jpeg
 
Huu mtifuano toka mwaka jana siachi kabisa kupitia kila page ila hii imevunja mbavu joto la jiwe imebidi nitoke huko nije nicheke hapa hadharani
Hatuwezi kuwanyima chakula, hawa ni watani wetu wa jadi kama Simba na Yanga, moja ikishuka daraja, ladha ya ligi inapotea, tusipowapelekea chakula wataendelea kufa, kutakuwa hatuna watu wa kunyukana nao hapaJF, ila lazima tuwazingue kidogo
 
  • Thanks
Reactions: nao
very true....Kilimanjaro views are best seen from Kenya's Amboseli...the other side it is completely boring...
View attachment 660183
watu wanataka kuupanda sio kuona hata kwenye picha watu wanaona ila wanataka kuupanda mlima wa tanzania na mlima kilimanjaro unapokea watalii wengi sana tena sana wakitaka kuupanda 😀😀😀😀😀
 
Nakuru Town has really grown of late. If it was in Tanzania it will be the second largest city. Mind you it was ranked as the fastest growing town in Africa in 2011
 
Back
Top Bottom