Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti tofauti yani wanaishi kama wasomali.
Japo wapo wengine wanaingia hadi kwenye biashara haramu Temeke kuna mwaka walifumwa wakakimbia.
Nimeishi kwa Aziz Ally, nilikuwa nona sana Wasomali kwenye magereji.

Ukienda kwenye magodowns ya Wahindi, Kigamboni, Kwa Aziz Ally, Vingunguti kumejaa sana Wahindi, Wapakstani, Wachina, Wasomali hawana hata vibali.

Wanakaa kihuni tu.
 
Sasa pale jeshi la twalipo nyuma ya jeshi la twalipo ile mitaa hadi kufika kwa Azizi Ally sheli kuna waethiopia ambao wameshajigeuza wasomali.
Lugha zi zinarandana wale?
 
Sidhani kama Amharic ni sawa na Somali
Amhar ni lugha kuu ya taifa,ila Kuna lugha za kikabila kaka,Moja wapo ya kabila la Ethiopia ni Somali,na wanaongea lugha ya Somali.
Pia Kuna wepesi wa kusikilizana lugha kati yao mkuu,mie nimekaa Temeke nyuma ya jeshi la twalipo nimesoma nao hao jamaa Kuna rafiki yangu mmoja namhifadhi jina ni muoromo kaka ila pale anajulikana kama msomali.
 
Naona kumbe Somali ni lugha kubwa sana Ethiopia, baada ya Amharic.

Hao wahuni wanakwepaje Uhamiaji.??
Screenshot_20250513_201600_Chrome.jpg
 
Naona kumbe Somali ni lugha kubwa sana Ethiopia, baada ya Amharic.

Hao wahuni wanakwepaje Uhamiaji.??
View attachment 3332925
Ndio hivyo kaka.
Hii nchi yetu Tanzania tunafeli kwenye siasa tu.
Ila sio ya kuifananisha na takataka yeyote hapa East and central Afrika.
Raia wa TZ wanaishi vizuri sana.
Mfano mdogo tu,kuna mwezi iliwahi tokea Tanzania watumishi wakakosa mishahara??
Ila Kenya inatokea hata Ethiopia pia.
Tanzania tuna miradi kibao ya kupambana na umasikini mathalan mikopo isiyo na riba ya halmashauri,je hilo Kenya lipo ana Ethiopia??
Elimu bure hadi form 4 pia kuna mkopo wa elimu ya chuo ya kati na ya juu,je hivi vitu kwa wenzetu vipo!?
Ndio maana Abiy Ahmed alipokuja Tanzania alisema kuna mengi ya kujifunza toka Tanzania juu ya SOCIAL DEVELOPMENT.
Tanzania unavyoisikia sivyo inavyoishi.
Hao wengine wapiga kelele tu.
Unajinasibu una uchumi mkubwa kesha unakosa mishahara ya watumishi wako!?
 
Hata siasa zetu binafsi naamini siyo mbaya sana.

Ila kuna kikundi kidogo ndani ya CCM kimepoteza kujiamini kabisa na kinaishi kwa illusions, ndio maana kinatumia sana nguvu na kuumiza watu wasio hata tishio.
 
Sera ndio shida kuu.
Kama sera zikibadilika basi mambo yatanyooka zaidi.
Maana sera nyingi ni za zamani.
 
Ndio hivyo kaka.
Hii nchi yetu Tanzania tunafeli kwenye siasa tu.
Ila sio ya kuifananisha na takataka yeyote hapa East and central Afrika.
Raia wa TZ wanaishi vizuri sana.
Mfano mdogo tu,kuna mwezi iliwahi tokea Tanzania watumishi wakakosa mishahara??
Ila Kenya inatokea hata Ethiopia pia.
Tanzania tuna miradi kibao ya kupambana na umasikini mathalan mikopo isiyo na riba ya halmashauri,je hilo Kenya lipo ana Ethiopia??
Elimu bure hadi form 4 pia kuna mkopo wa elimu ya chuo ya kati na ya juu,je hivi vitu kwa wenzetu vipo!?
Ndio maana Abiy Ahmed alipokuja Tanzania alisema kuna mengi ya kujifunza toka Tanzania juu ya SOCIAL DEVELOPMENT.
Tanzania unavyoisikia sivyo inavyoishi.
Hao wengine wapiga kelele tu.
Unajinasibu una uchumi mkubwa kesha unakosa mishahara ya watumishi wako!?
Screenshot_20250513_205750_X.jpg
Nimejaribu kucheck issue ya mishahara ya umma, Kenya kumbe ni kweli.

Hawa watu wana uchumi FAKE sana.
 
Back
Top Bottom