Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you have a majority stake in anything apart from Government parastatals.
Wewe jamaa.

How can you have majority shares in a compamy, and still a company remain a private company?
Airtel - India
Airtel is 49% owned by the Government. Lengo ni kuwaacha waendeshe tu, kwasababu govt ingekuwa majority shareholder ingetakiwa kuiendesha na kufanya maamuzi wakati tayari ina 100% TTCL
Vodacom - UK
Vodacom is 25% owned by the public
Halotel - Vietnam

Ndio Kwa maana Magufuli alikua anataka kutake over Airtel na akashindwa. 🤣🤣🤣
Halotel is still a new company, but will have to affloat 25% of the shares.
 
in this context private company unamaanisha a company which is not a parastatal ama a company which is not listed publicly through an IPO. Hueleweki wewe.
 
Toll road??
Acha wazijenge hapa wanaenda kuuwa reli yao. Kwa mfano kwa sasa ambapo hakuna highway ya Nairobi Mombasa ila abiria wa wakipanda treni wameshuka kwa 200,000 siku kukiwa na tolls wenye mabasi watapandisha kidogo na watakuwa wanawahi kuliko hata treni hivyo treni automatically itashuka .
Tukija kwenye malori sasa hivi Kuna malori ya umeme.
Wafanyabiashara watahamia kwenye malori ya umeme na gharama ya mafuta zitapungua ila watakimbilia kulipa toll free ili watembee fasta na mzigo utafika haraka sana kuliko kutumia treni.
Acha wqjenge barabara🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo SGR train ilikuwa mbwembwe na siasa tu.

Hakuna mtu anaitaka tena.

Haina tofauti na Meter gauge.
 
Yaan hapa naona Samia anawachelewesha ilitakiwa tumvute mseveni chemba tumwambie wewe kuja tujenge reli itayopasua katikati ya nchi mpaka juba
Museven yeye anasikilizia tu. Ingawa kutoka Mombasa Malaba ni karibu sana, ndio maana anataka kujenga reli yake aunge Malaba.


Kenya ndio wamekwama kila mtu hataki kuwakopesha pesa, ya kutoa reli Mombasa kwenda Malaba. Ruto amezurula sana kutafuta pesa bila mafanikio.

Unaona hii ni masterplan yetu.

Dar- Singida (complete)

Singida/Makutupora- Tabora contractor yuko kazini.

Tabora Isaka (Contractor kazini(

Mwanza Isaka Shinyanga (64%)

Tabora Kigoma (Contractor yuko kazini)

Hapo Burundi wameunga Kigoma (Mkandarasi yuko kazini) na Burundi sisi ndio tunawasaidia kila kitu, maana hata umeme wa kusukuma SGR hawana.

Burundi na Rwanda wana beef, kwahiyo kila mmoja anachukulia Tabora na Isaka Shinyanga.

Lakini pia Museveni ana OPTIONS MV Mwanza imekamilika, na TPA wanataka kujenga Dry Port Fela, Mwanza.

Daraja la Magufuli limekamilika. Hivho Kama Kenya wakizingua, Museveni anachukulia mizigo yake Mwanza then anachagua kupitishia Magufuli bridge to Mutukula border au kupitia ziwa Victoria with MW Mwanza.
 
Sidhan kama Rwanda bado Yuko interested Tena maana wenyewe walitaka wafike goma sasa Burundi wako katika mazungumzo na Kongo kufikisha mpakani.
Kule kalemie mpaka Lubumbashi trc wanashirikiana na Kongo kirekebisha Ile reli ya zamani maana tumechoma na manyanyaso ya wazambia
 
Sidhan kama Rwanda bado Yuko interested Tena maana wenyewe walitaka wafike goma sasa Burundi wako katika mazungumzo na Kongo kufikisha mpakani.
Rwanda ni landlocked, hana option nyingine.
Kule kalemie mpaka Lubumbashi trc wanashirikiana na Kongo kirekebisha Ile reli ya zamani maana tumechoma na manyanyaso ya wazambia
TAZARA wameshapewa Wachina (PPP). Wanafanya revamping.

Watanunua mabehewa mapya na watarekebisha reli, Cape Gauge.

Congo wakikaa sawa, wataunganisha SGR kutokea Burundi to Kindu.

Congo hata wakichelewa, reli ikifika Musongati Burundi, wataanza kuchukulia mizigo yao Burundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…