Akili hiyo hiyo tumia kwa NMB na CRDB pia acha double standardsSasa ona desperation inafanya unakaa mjinga. Kati ya 60% owned by Kenyans na 12% gani kubwa?
Hawa majamaa bana.🤣🤣🤣Umekazana na shareholding ya Safaricom yet huko kwenu your government owns nothing pale kwa Vodacom Tanzania. 🤣🤣🤣
Leo umedeal na Hawa watu single handedly Hadi umeexpose ujinga wao.🤣🤣Tulia, you are just a watchman na kazi yako ni kubeba rungu huko airport. Jamii Telecom plays with the big boys, wewe ngoja tukianza kuongelea mawatchman tutakuita.
View: https://x.com/janetmachuka_/status/1697164039858634930?t=_97gMlCkHTa49vtF07Pcrg&s=19
Siyo kweliVodacom 75% owned by wazungu 🤣🤣🤣
Airtel Kenya inamilikiwa na wahindi kwa 100%Siyo kweli
Willy powowo anasukuma Nini vilemsanii wa singeli anasukuma RR sawa na politician wakubwa kenya
View: https://www.instagram.com/p/DJe48a_q3ix/?igsh=OWxyd2V0bGhycHlr
freely!!Ona huyu nyang'au na kizungu cha kukariri badala ya kusema freally anasemena friiri😁
View: https://m.youtube.com/watch?v=PotmKh0AuG0
Sawa.freely!!
Huu ujinga wa Ukunyani kumuita Obama mkenya umeingia Tanzania?