Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umia pole pole. Unaona slums wapi hapa?



Achana na huyo mtanganyika. Wamejaza jiji lao na uswazi Kila sehemu wanadhani Nairobi hali ni hivyo hivyo. Now they're looking for excuses just so that they find solace. When you see them say foreighners wanamiliki apartments Nairobi, just know that ni maumivu just because they can't come close. Hata wao pia ni foreighners waje wajenge hizo apartments nao pia wawe wamiliki
 
Tuongee kwa evidence sio kwa maneno zilete hizo bungalows kwanza
This is Runda from the sky.

And this is Masaki, your most affluent estate, from the sky full of apartments

Do you see any resemblance? Ni wapi Kuna bungalows?

You will NEVER find apartments in Runda hata etembee hadi wapi na hivyo ndivyo hali ilivyo kwenye hizo mitaa zingine niliyotaja hapo awali
 
Is Masaki not your most affluent estate? The one mnatutajia hapa Kila siku?

Wewe unaleta video ya selected houses just to massage your ego. Videos kama hizo naweza kukutolea even deep in Kahawa Sukari or Lang'ata, which are not affluent estates in Nairobi. Aerial views give the true picture of a place, not some random selected videos.

Mbweni na Mikocheni yenyewe bado ni apartments kama tu zile za Kileleshwa though the latter is much better
 
Sasa unawezalinganisha hizo nyumba na zile uswazi zenu zilizotapakaa kila mahali ba mabati zilizoliwa na mchwa?
UMmeshindwa leta mfano wa street zilizoko runda tulinganishe unatuletea aerial view, kwa sababu hata ukizivuta hizo unazoziita bungalow ukajaribu kufananisha na hizo unazoziita apartment bado hizo apartments ziko vizuri kama unabisha leta street view tu
 
Bungalow ukajenge kwenye acre Moja?🤣🤣 Bungalow zinajengwa kwenye mahekta na ndo ilivyo kwa Tanzania Kuna watu wamejenga mabungalow ndani kama rubgwe ya mbeya wanatumia helkopta tu kuja dar? 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…