Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesema Morocco square haiko mikocheni? Unajua kata ya mikocheni, boundary zake?
Vip uliingia ndani? Floor tatu zote ni mall na restaurants floor ya juu. Sasa sijui unasems nini exactly
Anyway. Ngoja tukuache tu.
Ulichosema na nilichosema kuna utofauti gani? Nimesema mall hapo Morocco Square ni sehemu ndogo sana ya jengo ukiichukua pekee huwezi ukailinganisha na malls kama The Waterfront ama the Hub, umekuja kudhibitisha kwamba ni floor tatu pekee zilizo mall hapo. Sasa ujuaji wangu upi?
Hapo Morocco NI Regent Estate. Wewe unaongelea Mikocheni kata, mimi naongelea Mikocheni Estate - hivo ni vitu viwili tofauti. Kwamba hapo ni Regent Estate ni fact sio ujuaji. Same way kuna malls za Westands Estate ambazo Teargass ametaja hapo juu na pia kuna Westlands Sub County ambayo tukiichukua yote malls kama Two Rivers, Rosslyn Riviera, Village Market, Lavington mall, Yaya Center, Junction Mall n.k zitakuwa humo humo. Ujuaji ni huyo mbilikimo kusema the Hub and the Waterfront - some of the classiest malls in this region eti ni vibanda alafu anatupostia malls zinazochukua less than 10% ya jengo eti hizo ndio malls.
 
We have more tarmacked roads than TZ
Screenshot_20250509_155647_X.jpg
 
Mikocheni sahii sio tena size yenu.. hizo unaita malls in mikocheni ni shopping complexes zipo kibao hapo mikocheni. 🤣🤣🤣. Here we go. 👇🏾mikocheni Palm village 👇🏾View attachment 3328709View attachment 33287102.. village mall mikocheni.. U/C 👇🏾View attachment 3328711..https://youtu.be/BcVTEJHC-oc?si=2lOHy3wuLT6JbiEB.
3. Morocco square shopping mall View attachment 3328720View attachment 3328722.. haya kuna kibanda chochote kati ya vile alivyotaja mwehu mwenzako kinaweza tia pua yake .? 🤣🤣
Hizi ndio malls tatu za mikocheni. 🤣🤣🤣 Na unasema za Karen ni vibanda. Kwani unadhani malls lazima zikue kwa maghorofa ama? Mbilikimo mkora tulia hii Karen huiwezi. Hii hata sijaiweka kwa hesabu, najua ingekua mikochina ungekua ushatuhesabia ni mall.

53935435468_4efd4f7ad4_h.jpg
 
Hizi ndio malls tatu za mikocheni. 🤣🤣🤣 Na unasema za Karen ni vibanda. Kwani unadhani malls lazima zikue kwa maghorofa ama? Mbilikimo mkora tulia hii Karen huiwezi. Hii hata sijaiweka kwa hesabu, najua ingekua mikochina ungekua ushatuhesabia ni mall.

View attachment 3328851
Shoppong complexes of these caliber are so many in mikocheni. 🤣🤣🤣🤣🤣 hizi maduka hakuna haja kuzitafuta ni njiani tu unapatananazo.
 
Back
Top Bottom