Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii nyumba moja imekushtua. 🀣🀣🀣
 
Mikunya inapenda kuforce issues kweli πŸ˜‚πŸ˜‚ waangalie hii interview yote mtoto wa Magu anasema babake alifia Dar na kuanzia anaugua mpaka anafariki alikua Dar ila wakundustan wanavyoforce issues πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://youtu.be/SsJYpX5saMM?si=j32y-PCLFgIReJNH
 
Huu ushamba utatoka mpaka lini? Currency is just a Unit of Measure.
Mfano kwenye metric measurements kuna mtu atapendelea kutumia Meter lakini mwingine Kilometer
So 1KM = 1,000M 🀣 🀣 🀣 🀣
Nikutumie thao ya Kenya ulishe Kijiji yenu nzima. 🀣🀣🀣
 
Huu uzi wamebaki wapumbavu tu. Mwenye akili awezi kuwa kwenye huu uzi kwa sasa.
 
Vitu duni, low standards, poor quality. Vitu vya kimaskini.
Elimubya biashara hamna, ukiwa na lower currency in comparison with your neighbours inapelekea bei ya bidhaa zenu inakuwa chini hivyo kuvutia wanunuzi wengi kutoka nchi nyingine.
MFano tu nikija na dollar na kuchange kwenda tzs nilienda sokoni Nina uhakika wa kupata mzigo mkubwa kwa gharama ndogo tu
 
Sikiliza hii yaan tuwape msaada wa sawa halafu tuprefer kununua kwenu. 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…