Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivo ndio mnavyoaminishwa. Kiukweli ni kwamba umaskini Tanzania upo, tena kwa wingi sana. Mimi Tangu nizaliwe sijaona yeyote akipewa chakula cha msaada. Chakula cha msaada hupewa maeneo ambayo yalikumbwa na instability kwa muda mrefu huko Northern Kenya na kuna wakaazi wachache sana hayo maeneo ila kwa sasa hiyo region imeanza kupata stability ndio maana siku hizi ni nadra upate wakiletewa misaada. Soon mambo ya misaada yatakuwa history.

Na usitudanganye, hapo kwenu watu wanapewa msaada wa chakula. Usidhani sisi wajinga.
 
Oya wakuu sisi tuko na potential bhana. Heb Cheki hizi chuma bomba la msururu wa chuma heading to south ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ.
View: https://www.instagram.com/reel/DJM7tTnMroy/?igsh=MWgwdWp2bHNiMzJrdQ==. We feed Africa Yoo.
Wakundustan wanafikiri tunawategemea wao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Angalia poa Zambia wanavyochangamkia kariakoo, wakundustan watafikiri wao pekee ndio wateja wa kariakoo


View: https://vm.tiktok.com/ZMBKX2hMn/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Kama alinunua kwa bei hiyo ya ksh 130 Tena 330mm asijifisie walimuona zoba bei ya Serengeti lite/lager za mm 330 kwa retail ni 2000tsh sawa na 95ksh kwa hizo bei anazotaja ni wazi hamjafika Tanzania bali kaambiwa . Tanzania ukinunua bia 3 unalipa tsh 5000 tsh sawa ksh 239 au per bottle ni 79ksh๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sijafika Vumbistan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Tanzania imezungukwa na nchi zaid ya nne zenye instability ila imejitahidi kuepukana na majangiri.
Mfano tu ni kigoma ,bukoba, na rukwa kulikuwa na majambazi wenye siraha kuliko hata askari watanzania lakini hatujawahi kufa njaa .
Huwezi kusema hakuna maskini Kenyan wakati bado Kuna watu wanaendelea kupokea msaada wa chakula. Ukisema Kuna ukame basi misri walitakiwa wawe wameshakufa wote kwa njaa
 
In short walimgonga. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sijasema hakuna maskini Kenya, nimesema Kuna maskini Tanzania.
 
That's too low for me, I sometimes drink local beers in villages for a cost of less than ksh 50 a litre.
By the way, I rarely drink alcohol.
Halafu kumbe wewe ni kajinga hivi, why I even bothered being engaged to your childish reasoning. Kwaheri.
Wewe zoea umaskini yako. No wonder unaringa kukunywa pombe ya 800 bob.
 
Sijasema hakuna maskini Kenya, nimesema Kuna maskini Tanzania.
Kuna maskini Tanzania ambao wanaweza kununua chakula ambacho ndo basic need ila Kenya Kuna maskini ambaye hawez kununua chakula mpaka akafa njaa, sasa kama maskini wakenya hawez kununua chakula tu Ina maaana hata nguo na nyumba ya kuishi hawezi kuafford, ikiwa na maana maskini wa Tanzania anaishi vizuri sana
 
In short walimgonga. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Walimgonga akajiona mwamba kumbe wahuni wa kariakoo washamtembezea kichapo hawa ipo siku watauziwa sabuni na wahuni wa manzese tu. Tupo humu.ukiona mfanyabiashara wa kibongo anakuambia wewe nilipe tu kwa hiyo hela uliyonayo jua umeibiwa tayari
 
In short walimgonga. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa mbona asiseme niligongwa ananiuliza Bei ya wholesale?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Alafu bia nilinunua supermarket. Sidhani supermarket wanaweza nigonga maanake bei zimeandikwa hapo hapo. Yani you're so desperate mnataka kudanganya Bei ya vitu ndio muonekane mna nchi Bora? No wonder you believe there are no poor people in Tanzania. Mnapenda kuficha uovu Hadi mmeanza kuamini ujinga wenu.
 
Ushawaai fika Kenya?
 
Ebu tutajie hiyo supermarket Iko wapi na jina tu. Tukascreenshort bei ya bidhaa za hapo. Tena super market kwanza tuone
 
Hujavuka na kama kweli umevuka post picha ya mnazi mmoja hapa ya Leo . Mind you mnazi mmoja ndo Kuna kituon cha daladala na tax kwa upande huo. Sasa kama umefika maeneo hayo lazima utakuwa umeenda kupandia tax au daladala mnazi mmoja
Sijui kama hapa ndio mnazi Moja ila hapo ndio nilipanda daladala. Barabara haikuwa na lami.๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

 
Wiki haiwezi isha bila sijanywa pombe ndio maana nashangaa hizo bei zako, Nikudanganye kwa faida gani? Au unafikiri tuna ule uzalendo wenu wa kijinga wa kuteteana mkidanganya!
Ungeenda bar, liquor store au pub upate bei halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ