Kwa hivyo hii ni Kuku?Tanzania nyama ya kuku haziuzwi kwa butcher na hakuna guideline zinazolazimisha
Kwa hivyo hii ni Kuku?Tanzania nyama ya kuku haziuzwi kwa butcher na hakuna guideline zinazolazimisha
Umaskini ni mbaya. 🤣 🤣 🤣
![]()
READ AGAIN... SUSPECT ARRESTED.Veterinary board say slums main market for illegal meat
By Antony Gitonga | Jul. 29, 2024
When five suspects were arrested for trading suspected donkey meatat the Burma area of Kamukunji Sub County on October 27, 2023.[Samson Wire, Standard]![]()
The Kenya Veterinary Board (KVB) has identified informal settlements as the main consumers of uninspected meat in the country.
The board noted that those living in the humble settlements in Nairobi, Nakuru and Kiambu are the most affected by the existential threat posed by this meat.
This comes in the wake of reports that cases of smuggling of donkey skin were on the rise in the country, with the meat being ferried to major towns.
Benson Kibore , a member of the board, says uninspected meat posed a major threat to the country's food security, with the illegal vice on the rise.
![]()
{"uid":
Wako na hygiene kuliko wanaouza kwenye mabanda yenu, na mostly wanauza utumbo ambao tayar ushapimwa na mabwana afya , wako na mifuko kwa mikono hakuna dalili ya tetenasi , sasa tuambie wapi imeandikwa butcher hapo . Hutawakuta wakiuza nyama kwa kilo hapo.READ AGAIN... SUSPECT ARRESTED.
Hawa wanauza nyama kama mtumba hawako under arrest. Hata wanafurahia kuwawkea nyama kwa mtungi.
![]()
Wako na hygiene kuliko wanaouza kwenye mabanda yenu, na mostly wanauza utumbo ambao tayar ushapimwa na mabwana afya , wako na mifuko kwa mikono hakuna dalili ya tetenasi , sasa tuambie wapi imeandikwa butcher hapo . Hutawakuta wakiuza nyama kwa kilo hapo.
Sio kama wenu wanawauzia decayed meat
Comeback yao huwa ni Kibera😂😂🤣😂. Of all the neigborhoods in Nairobi, Kibera ndio huwa scapegoat yao😂😂The title should be changed to Dar vs Kibera 🤣 🤣
nairobae. Hizi ni bar za uswahilini huko Mabibo ibungu. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DG0VxxjNwx1/?igsh=MWp2OHg2d3JjZGQzNA==.
View: https://www.instagram.com/reel/DCtpSW3uqMV/?igsh=OTlob29uOGlhaGxz. Kitambaa cheupe Tabata. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DIx93SjKRMI/?igsh=MWtoZWw3OGUxYnh1dA==. Small planet Tabata 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DI9xnZ3q1TV/?igsh=NTM4NHltOTJwYThq. Nangoja ulete ubishi 🤣🤣🤣 niendelee
Not for consumption na ndo maana zimetupwaYou can't beat this. 🤣 🤣 🤣 Enyewe Tanzania ni nchi maskini.
![]()
![]()
Tunadeal na Ushamba tupu!!Google earth 🤣🤣🤣🤣 Hizo ni picha watu wana upload mzee. Kwa akili yako unafikiri google wamefunga kamera angani anapiga picha kila siku 🤣🤣🤣🤣 Wakenya washamba sana.
Uko tayari kuiba picha mtandaoni ilimradi ujifurahishe tu😁You can't beat this. 🤣 🤣 🤣 Enyewe Tanzania ni nchi maskini.
![]()
Ndio Hawa CCMHivyo ndio CCM hua imewadanganya ju wengi wenu hamjawai fika Kenya. 🤣🤣 Hio 60% hata ni kidogo, ongezeni ifike 90%.
We ****** wako nimesema wapi kama hizo ni liquor stores.? 🤣🤣🤣 au unatafuta pakujificha.?Bar na Liquor store ni vitu viwili tofauti. Yani wewe huwa ni mshamba kwa kila jambo.
Watu walikuwa wanaongelea Liquor store lakini wewe na ushamba wako ukakuja na bar. Ni lini utaacha kuwa mshamba?We ****** wako nimesema wapi kama hizo ni liquor stores.? 🤣🤣🤣 au unatafuta pakujificha.?
Umia kabisa, mnakula mizoga. 🤣 🤣 🤣 Who dumps caucuses next to a petrol station. Enyewe bongolala mtatuonyseha mambo.Uko tayari kuiba picha mtandaoni ilimradi ujifurahishe tu😁
Hakuna tatizo, tatizo linakuja pale unapojiona unaishi vizur kwasababu ya mall wakati unaishi kwenye nyumba ya mabati full suti.Kwani imeandikwa wapi kwamba ukiishi kwa nyumba ya mabati hufai kuenda mall? Mko na akili za kimaskini sana😂😂.
For your information this Is Southfield mall serving Pipeline and Mukuru Kwa njenga residents, all those places are slums according to Tanzanians.
View attachment 3323011
View attachment 3323013
As long as ako na electricity kwake amekushinda wewe mwenye bado anatumia kiroboi kwa nyumba yako.Hakuna tatizo, tatizo linakuja pale unapojiona unaishi vizur kwasababu ya mall wakati unaishi kwenye nyumba ya mabati full suti.