Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duka gani hapo inauzwa pombe?
1746219630699.jpeg
1746219630699.jpeg

Yaan kwenu hygiene ni ndoto sana
 
Mbona pombe inauzwa kwa duka la mangi? Si mtumie hizo mingi.
Hizo ni tamaduni za wachaga my brother lakini hiyo haina maana kwamba hakuna maduka ya pombe, nikianza kupost maduka ya pimbe hapa utachanganyikiwa.. ni popular kwamba DSM hakuba weekemd watu wanaruka tu 24/7 waulize wakenya wenzako walioko huku. 🤣🤣🤣
 
Hii yote ni hasira ju munauza pombe pamoja na sukari kwa duka la mangi. 🤣🤣
Sio hasira ebu tueleze hygiene ya kuuza nyama kwenye mabati yaliyooza . Yupi Bora anayeuza pomba kwa duka safi au yule anayeuza nyama iliyotandazwa kwenye mbao zilizooza ?
Ndo maana tunawaambia nyinyi wachafu tu
 
Back
Top Bottom