ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Informal economy by CCM ndio imewadanganya munaweza uza kila kitu kama supermarket kwa kiosk. 🤣 🤣 🤣You know nothing about business.
Unaona hilo basi! limeandikwa Temeke halafu Ghana wanaendesha right side!Mikocheni ya Ghana. 🤣🤣🤣
You know nothing about business.You know nothing about business.
Wakenya wanapitia hali ngumu and other propganda from CCM. Nimecheka sana nikifwatilia hii tweet. 🤣🤣🤣 Yani bongolalas ambao hata hawajawai kufika Namanga border wanapinga mwenzao ambaye amefika Kenya.
View: https://x.com/campafrica968/status/1910984345222852861?t=FzpLB25N1R_rin5fHnqIaw&s=19
View: https://x.com/sajomakes/status/1911039189644173471?t=2Jg2Cy0C2BoqhaWqyhnYag&s=19
View: https://x.com/rukundopae39751/status/1911678862548750808?t=Py_kcso_kct4gTtQjf5I1w&s=19
CCM hoyeeee. 🤣 🤣 🤣Yaani mna account nyingi fake mkijifanya Watanzania na kujidai mko juu ilhali mnaosha vyoo kila kona ya dunia,
Compare na maduka yenu sasaInaitwa informal economy, akili za kimaskini. Pombe inauzwa kwa same shelf na food items. 🤣 🤣 🤣 Hii duka iko Dar is a slum, na wanauza Konyagi and other household items. Pengine hata wanauza simiti za mjengo pia. 🤣 🤣 🤣
Enyewe umaskini ni mbaya.
![]()
Obviously Kibera ndio huwa level ya Dar, kila kitu Dar mnalinganisha na Kibera😂😂😂
Nyama haipaswi kuuziwa kwenye mabati kama haya, ndo maana mnauziwa zilizoozaInaitwa informal economy, akili za kimaskini. Pombe inauzwa kwa same shelf na food items. 🤣 🤣 🤣 Hii duka iko Dar is a slum, na wanauza Konyagi and other household items. Pengine hata wanauza simiti za mjengo pia. 🤣 🤣 🤣
Enyewe umaskini ni mbaya.
![]()
Iko wapi nyama hapo? And again, thanks for confirming Kibera ndio standards za Dar is a slum.Nyama haipaswi kuuziwa kwenye mabati kama haya, ndo maana mnauziwa zilizoozaView attachment 3323143
The title should be changed to Dar vs Kibera 🤣 🤣Obviously Kibera ndio huwa level ya Dar, kila kitu Dar mnalinganisha na Kibera😂😂😂
Duka gani hapo inauza pombe? 🤣🤣
Sababu huwez Kuta butcher kama hilo popote Tanzania hata iwe kijijin ila kwenu lipo ndani ya jijiIko wapi nyama hapo? And again, thanks for confirming Kibera ndio standards za Dar is a slum.
HAyo sio maduka yenu?Duka gani hapo inauza pombe? 🤣🤣
Kwahiyo neno butcher kwako ni pambo🤣🤣🤣🤣Iko wapi nyama hapo? And again, thanks for confirming Kibera ndio standards za Dar is a slum.