Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kujazana kwa daladala Hadi waliosimama wanakuwa wengi kuliko waliokaa ndio kuwa rich?
Kusema tu ukweli is more comfortable than most public transports in other African countries. Matatu ni ngumu sana kupata passenger anasimama kwa gari.
 
Kusema tu ukweli is more comfortable than most public transports in other African countries. Matatu ni ngumu sana kupata passenger anasimama kwa gari.
I can tell you 100%, matatus are way better. Imagine Vumbistan bajaji(tuktuk) is considered a more comfortable mode than daladala hence more expensive. Alafu even when you're seated, your head hangs about the headrest of the the seat because of their short backrest. Those things are a nightmare to ride.😂
 
Hivi unakwendaje mall ukitokea kwenye nyumba za mabati? Remember 60% of Nairobians (maybe including you😂) wanaishi kwenye nyumba za mabati🤣🤣🤣
Hivyo ndio CCM hua imewadanganya ju wengi wenu hamjawai fika Kenya. 🤣🤣 Hio 60% hata ni kidogo, ongezeni ifike 90%.
 
Hivi unakwendaje mall ukitokea kwenye nyumba za mabati? Remember 60% of Nairobians (maybe including you😂) wanaishi kwenye nyumba za mabati🤣🤣🤣
Kwani imeandikwa wapi kwamba ukiishi kwa nyumba ya mabati hufai kuenda mall? Mko na akili za kimaskini sana😂😂.

For your information this Is Southfield mall serving Pipeline and Mukuru Kwa njenga residents, all those places are slums according to Tanzanians.

1746190589315.jpeg

1746190624770.jpeg
 
Sisi hatupigi Kila western culture kama nyinyi na ndo maaana tuna masoko ambayo yanawanufaisha wengi kama vendors badala ya kuinvest kwa malls ambazo haziwapi watu wa chini fursa za kuuza.
To mfano wa soko wakufikia hata nusu ya masoko ya tanzania
China does not follow western culture but it's very modernized, nyinyi yenu sio culture, hio yenu ni umaskini.
 
So, mama mboga Kenya wanauza kwenye supermarkets??
Wako na soko yao just like zile mnatupigia nazo kelele, and guess what? Are you aware that Supermarkets are nowadays even selling mboga, vitungu, and all other raw farm products? Do you want me to show you an example?
 
Hivyo ndio CCM hua imewadanganya ju wengi wenu hamjawai fika Kenya. 🤣🤣 Hio 60% hata ni kidogo, ongezeni ifike 90%.
Unakuchaa wew😂 unadhani hatufahamu kwamba 60% ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye kipande Cha ardhi ambacho ni 6% tu ya ardhi yote ya Nairobi (Huu ndo umaskini Sasa!😂)na mko hapa mkijifanya mnashangaa watu kujaa kwenye daladala. Unasingizia CCM, imefikaje huko Kenya😅
 
Anataka kuja why daladala are crowded
But you're contradicting yourself. You say Nairobi is a congested city to justify why daladalas are congested.

BTW, Nairobi metropolitan area is bigger than Dar Metropolitan area. I confirmed. I was in Dar last 8 years ago and based on what you guys say here, i thought it had grown to tremendous size in those years. It has grown, yes, but still not to Nairobi's size
 
I can tell you 100%, matatus are way better. Imagine Vumbistan bajaji(tuktuk) is considered a more comfortable mode than daladala hence more expensive. Alafu even when you're seated, your head hangs about the headrest of the the seat because of their short backrest. Those things are a nightmare to ride.😂
Nairobi Matatu ikipelekwa Tanzania will become a tourist attraction😂😂😂

View: https://youtube.com/shorts/FrhFNxJQPi4?si=A_LyHxpCVt-yf6eo
 
Mwambie hata mboga pia huuzwa supermarkets. Hawa wavhawi huwa hawana exposure sana.

View attachment 3323021
View attachment 3323022
Ungejua hiyo culture ya Malls inavyo haribu local economy usingefurahia?
Kwanza mnakula vitu vinakaa kwa fridge whole week. Yes economy yenu inakuwa structured and documented but owned by few individuals

I support local vibandaski.
 
Back
Top Bottom