Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Go Tz Go.. Najua Wakenya habari kama izi hawazipendi.. Tuko top 10.. Kenya Top 20 nimeitafuta hadi na Tochi sijaiona..
Afu hawa wakenya ndio wanaotufukuzia investors kwa mavita yao ya wenyewe kwa wenyewe.. Wanaharibu history ya EA
ec9ec273a04ccbcd460fadaffe76c847.jpg
3a7726b1e2804e25aae99aff7f0b1dc8.jpg
 
Naona mkenya mmoja mwaswast anapambana na wana LDC ni kuwatoa jasho ki- one man army style yani kama Sylvester Stallone aka Rambo.
 
aircraft 7 tushanunua kwa pesa cash ambayo kq ilishindwa na haitaweza tena😀😀😀😀

modern electric train in africa tushaanza ujenzi kwa phase zote mbili 722km kwa pesa za tanzania cash no debt
Picha msema kweli...hayo mengine ni yuta na tuna.
 
Back
Top Bottom