Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rees Odhiambo: Kenyan professional player in the American Football league (NFL) for Seattle Seahawks
590931.vresize.350.425.medium.63.png


usa_today_10226848.0.jpg


920x920.jpg


ap_237084216312.jpg
 
na ndio maana wanazunguka kutengeneza pesa kokote ulimwenguni na kuzileta nyumbani tanzania 😀😀

wasanii wengi tanzania wanamiliki majumba kibao za adabu na magari ya heshima, wana studio zao na biashara zao, eat that
And when "Mond" goes to perform in kenya is paid twice a lot than UHURUTO
 
Producers??? Are you kidding me.. Diamond ana Main producer mmoja tu Laizer .. Beat inapikwa Tz, kideo ndo anabadilisha mandhari.. Tz kashafanya video nyingiiii sanaaa tangu anaanza mziki, na bado baadhi ya video ana shoot Bongo, na nyingine ana mix.. Mfano Je utanipenda? Kuwa msanii ni kua creative kuleta ladha mpya.. Sasa Kenyan artist wanashoot kibera tu unafkiri nani atawatambua
Godfather productions ..wasafi is making them rich ..almost 3/4 of the songs are through God father
 
BRT tusha....Bomberdier 2..tusha...Njaa tusha...insecurity tusha....ukabila tusha....rushwa tusha..
Bombardier mta- ikomboa lini? SGR mta- imaliza lini? U-LDC mta- utoka lini? U- middle income mta-uingia lini?
 
Godfather productions ..wasafi is making them rich ..almost 3/4 of the songs are through God father
Yule ni video director na kama unafuatilia unaona Diamond anaenda na crew yake nzima ikiwemo wapiga picha(kifesi) na video directors wake ili kushare ujuzi.. Ukiachana na iyo ni hela ngapi Diamond anaaiingizia nchi Ameifanya Tanzania iwe famous nje ya mipaka yake..

31217c143719de8be43c82f544b98392.jpg
d2f19f437e80b8f2ca4dd02006d8836a.jpg
982245865f05ba7f8949d2d3a1c4d361.jpg

Sorry Kenyans Hii ndio level yetu kwa sasa.. Nyie pitieni Msoto kwanza Wa Kibera
 
Back
Top Bottom