mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Sisi tumepata faida kwa kutopiga kura kwa kupata mwaliko US.123 countries didnt vote world wide... only 30 contries voted including kenya munaogopa kunyimwa msaada alaf munajiita DC😀😀😀😀😀😀
wewe unafurahia palestine kuchukuliwa mji wao kwa nguvu zamu yenu iko njiani
Palestine na Israel migogoro yao ilianza hata kabla Yesu azaliwe na hata yeye mwenyewe hakutatua...wewe ni nani uyatatue?