Did you know 70% of Tanzania urban population live in slums. Hio 60% rudishia CCM.Unakuchaa wew😂 unadhani hatufahamu kwamba 60% ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye kipande Cha ardhi ambacho ni 6% tu ya ardhi yote ya Nairobi (Huu ndo umaskini Sasa!😂)na mko hapa mkijifanya mnashangaa watu kujaa kwenye daladala. Unasingizia CCM, imefikaje huko Kenya😅