Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only in Tanzania 🇹🇿 where a third world style toilet inside a rental property is advertised as the most attractive amenity. Something not right. That’s a sign of extreme poverty. I seriously feel sorry for you guys. Ask Mama to do something about it .
 
Donated by Michigan 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇

1746105335109.png
 
Kama huijui Kenya, utamchukia Nyerere, utachukia ujamaa wake na utaona tumechelewa sana.

Tangu nitembelee Kenya.

Nawaambia Watanzania jivunieni nchi yenu, na hakikisheni watu hawaichezei.

Ukitoa hiyo GDP na thamani ya shilingi wanayotamba nayo, Kenya hawana kitu kingine.

Hali ni mbayaaa. Nikisema mbaya namaanisha mbayaaa.

KUna wakenya walikuwa wananunua pumba TZ, na siyo kwamba wanaemda kulisha mifugo, noo.

Wanaenda kusaga Unga wa ugali😂😂
Aisee ni kweli unachokisema? Mbn wakenya wana maisha magumu namna hyo? By the way kuna uzi upo humu, unaohusu tofauti ya maisha Tz vs Kenya, oyaa 100% ya watanzania wanaoishi au waliowahi kuishi Kenya wanasema kuna maisha ya hovyo mno Kenya, yn hawatufikii quality of life hata chembe ya ngano.
 
View: https://www.instagram.com/reel/DIJ6bVgMplp/?igsh=cnp2enhibGxhdDdh

Gara B alienda Kenya akajichanganya kuagiza Chipsi Mayai☝️☝️

Wakenya wanakula ili wasife tu
 
Again , your usual level. Kibera !… your middle class areas are full of shared toilets. Show me a shared toilet in middle class za kenya and I will donate $200 to any charitable cause of your choice . I dare you!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 There are no shared toilets in Tanzania. You will only find public toilets at bus stand.

But in Kenya, Every where flying toilets
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 There are no shared toilets in Tanzania. You will only find public toilets at bus stand.

But in Kenya, Every where flying toilets
Which Tanzania are you referring to?… Ile ya CCM na Mamá ama ingine ?…🤣🤣🤣
 
Greatwall is full currently. Huko kwao Mchina alijaribu kujenga Avic Town in 2013, it’s still empty up to now.
Imagine all those properties pesa yote mmempa mchina meanwhile Tanzania ni local fundi wanaweka mfukoni 98% of our real-estate stake, Kunyaland 95 percent of the whole real-estate profits is going to Chinese, Somalis, Indians, Arabs, whites
 
View attachment 3321748
Good editing mwanakibera,mkapa stadium imezungukwa na kambi ya jeshi upande wa south na west,upande wa north kuna chuo cha duce mashariki ofisi za serikali na mahakama,kaedit tena lipicha lako
Hiyo ndio Talanta stadium?

Of course hakuna uswazi karibu na makwapa 🤣🤣🤣
Dofoto_20250202_160550146.jpg
 
Back
Top Bottom