Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ushamba mzee mzima 🤣🤣🤣🤣 choo cha kukaa si standard of living..

Choo cha kuchutama ni flexible na safe kiafya many of our public areas we prefer them than vyoo vya kukaa. Concept ya watu maskini ndio wanawaza kama wewe 🤣🤣🤣

Ustaarabu na kundurendans ni wapi wapi.?

Ndio mana nimekuuliza kijiji ulichotokea. 🤣🤣🤣
Nyumba yako binafsi pia ishakua public area. Ushamba ndio hua inawasumbua ama ni ujinga.
 
Acha ushamba mzee mzima 🤣🤣🤣🤣 choo cha kukaa si standard of living..

Choo cha kuchutama ni flexible na safe kiafya many of our public areas we prefer them than vyoo vya kukaa. Concept ya watu maskini ndio wanawaza kama wewe 🤣🤣🤣

Ustaarabu na kundurendans ni wapi na wapi.?

Ndio mana nimekuuliza kijiji ulichotokea. 🤣🤣🤣
However, experts warn that what they call prolonged sitting on the toilet can harm your health. It's even been connected to an increased risk of hemorrhoids and weakened pelvic muscles, said Dr. Lai Xue, a colorectal surgeon at the University of Texas Southwestern Medical Center in Dallas.12 Nov 2024
 
Nyumba yako binafsi pia ishakua public area. Ushamba ndio hua inawasumbua ama ni ujinga.
Kumbe tunajadili vya nyumbani kwangu na husemi.? 🤣🤣🤣

Wewe ndio mshamba my brother, na siwezi kukulaumu hii inasababishwa na back ground yako, umeishi maisha ya kimaskini mno mpaka unadhani choo cha kukaa ni utajiri. 🤣🤣🤣

Nyumbani kwa mtu ni option hivyo vyoo, kwene nyumba nyingi ambazo nimetembea pamoja na nyumbani kwetu, visitors toilets huwa ni vyoo vya kuchuchumaa, kwasababu za kiafya zaidi.. choo cha kukaa ni kile cha ndani ya chumba (master bedroom). Huu ni utamaduni wa watanzania wengi. Havihusiani chochote na standard of living.

Wewe unatokea kijiji gani.? 🤣🤣🤣
 
However, experts warn that what they call prolonged sitting on the toilet can harm your health. It's even been connected to an increased risk of hemorrhoids and weakened pelvic muscles, said Dr. Lai Xue, a colorectal surgeon at the University of Texas Southwestern Medical Center in Dallas.12 Nov 2024
Unajaribu justify poverty. We live in a modern world. 🤣🤣
 
Kumbe tunajadili vya nyumbani kwangu na husemi.? 🤣🤣🤣

Wewe ndio mshamba my brother, na siwezi kukulaumu hii inasababishwa na back ground yako, umeishi maisha ya kimaskini mno mpaka unadhani choo cha kukaa ni utajiri. 🤣🤣🤣

Nyumbani kwa mtu ni option hivyo vyoo, kwene nyumba nyingi ambazo nimetembea pamoja na nyumbani kwetu, visitors toilets huwa ni vyoo vya kuchuchumaa, kwasababu za kiafya zaidi.. choo cha kukaa ni kile cha ndani ya chumba (master bedroom). Huu ni utamaduni wa watanzania wengi. Havihusiani chochote na standard of living.

Wewe unatokea kijiji gani.? 🤣🤣🤣
Hio yenu ni umaskini, ju zingine hata hazina flashing system. Munawmwaga maji na ndoo Kwa hizo latrines mumejenga ndani ya nyumba.
 
Unajaribu justify poverty. We live in a modern world. 🤣🤣
Kwahiyo kwenye slums zenu Kuna seated toilets au unasahau kuwa majority ya wakazi wa Nairobi wako kwenye za mabati
Hio yenu ni umaskini, ju zingine hata hazina flashing system. Munawmwaga maji na ndoo Kwa hizo latrines mumejenga ndani ya nyumba.
Hivi mukulu Kuna toilets kweli
 
Mbona munaishii primitive life. 🤣 Yani middle class wa bongoslum bado anatumia choo ya shimo, tena ndani ya nyumba yake. 🤣🤣
Wakati watu wanatumia toilets, hao bado wanatumia latrines😂
 
Mbona unafanya guess work.? 🤣🤣🤣
Sio guesswork ni facts, munaishi kama primitive people. Ndio maana munapenda slums.
Hii choo haina flushing system ju probably mwenyewe hawezi afford. Middle class wenu wanaishi kama maskini. 🤣🤣

FB_IMG_1746008870263.jpg
 
Back
Top Bottom