President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,629
- 94,228
We bwege unaonekana ni mshamba kupitilizaPunguza wivu, Samsung lazima washushe kitu kama hii. Mtalilia kwa choo very soon.
Mkuu yani hivyo viazi mviringo whether it's brown or regular white potatoes ndiyo vinalimwa kwa wingi sn huku Tanzania, wanachofanya wakenya ni u middlemen cz hao siku zote wameshazoea kazi za u argent. Wanachukua viazi Tanzania wanabandika labels wana export as Kenyan products, lkn hizo hila zao zote zimeshapigwa pini na Bashe, kilichobaki ni statistics za kitambo ndiyo wanatembea nazo, watuoneshe mashamba kama kweli wanalima hvyo viazi.Linapokuja swala la kilimo sisi always ndani ata top ten, top five or tunaongoza kwa zao lolote lile!
Zao la hivi halina sana soko Tanzania ndio maana halilimwi kwa sana. Viazi zinavyolika sana Tanzania ni Sweet potato.
View attachment 3318791
View attachment 3318790
ππHapo huwa wanafanya hivi πππ€£π€£π€£View attachment 3318847
Alafu anaweka vimaneno like "wooww is this Nairobi, I can't imagine being one among the Nairobi residents"
Kumbe ukweli ni huu πππ€£π€£π€£π€£View attachment 3318850
Na utakuta magovinda wenzie wana like na kopa wanaweka π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Benjamini Mkapa Inaendelea kukaa fresh
View: https://www.tiktok.com/@meamswahili/video/7497553694796369157
Wengi saaanaaa, yn wanaenda China kama wanaenda manzese, tena cku hz wameanza utaratibu wa kwenda China na ndala π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wakati watanzania mpaka machinga anaenda China
Soko na teknolojia gani bhana haya mambo ya kujidharau yashapitwa na wakati ni bora wangeingia ubia na kampuni za ndani kadhaa angalau tufike ata asilimia arubaini zinabaki hapa hapa lakini kwa 15 ni ndogo sanaaUnajua zaidi ya kuwa na mgodi hatuna kingine.
Soko, teknolojia na biashara ni wao.
Na mapato mengine kama Mirabaha na kodi inalipwa
Magufuli pamoja na vita nzito, tulipata 16% pekee.Soko na teknolojia gani bhana haya mambo ya kujidharau yashapitwa na wakati ni bora wangeingia ubia na kampuni za ndani kadhaa angalau tufike ata asilimia arubaini zinabaki hapa hapa lakini kwa 15 ni ndogo sanaa
Babu jinga utakua lini?fanya ujitambue kua una wajukuu ww bwegeI love the upcoming Nairobi-Nakuru Highway. Notice the wide median with beautiful landscaping. This gonna be dope . Kama Texas na California mwanangu ..π
View attachment 3318876
bora alijaribu kupigana na hao mwabwanyenye kutoka 3% to 16% atleast ameonesha juhudi kubwa sana sio sasa hvi hakuna mtu anafatilia watu wanapiga pesa mchana kweupeMagufuli pamoja na vita nzito, tulipata 16% pekee.
BOra hata ndala na zile kobaz na shuka za kimasai.Wengi saaanaaa, yn wanaenda China kama wanaenda manzese, tena cku hz wameanza utaratibu wa kwenda China na ndala π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ukiona hvyo keshafukuzwa arudi kwao kibera, c unajua Tz ndiyo Dubai yao π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kenyan at his best job he likes to do whenever Tanzania mentioned
View: https://x.com/muhumedress1/status/1915731962817376457?t=BAwfodlNzxE2wi0veOsEeA&s=19
Mara ngp tuliongea hapa kwamba trump akikata viposho na warudi!!?? Kiko wapi sasa, yn jamaa wako very aggressive na pesa mpk wanaharibu utu wao kwa vipesa vichache, sasa hapo c wamejichoresha!!!