Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulivyoiona inafanana na mall gani apo town kwa ukubwa. ..
nimependa iko Mjn
Ndogo, ni size yake ya kipekee, ila level tatu. Imeleta competition Kwa Mkuki house na Quality center inaweza tendwa vibaya kama haian kitu special cha kufuata kule. Hasa wa downtown , Upanga, na Kariakoo, kama movie mfano wataishia wote pale AURA. City mall ndio kabisaa anaweza pia kufanya vitu vingine Unique.
 
Hata baada ya kupatiwa Debt relief hawajajikwamua bado? Sasa hawa masikini watalipa hili deni vipi unless wapatiane resources ziwe plundered na wazungu...I now get to see the reasons for companies such as Acacia get away with anything and also kushikwa kwa ndege aina ya bombardier huko Canada.
 
yani nchi ya kenya imefkia 60% debt kwenye GDP yani IMF imewapa red light na huenda msipewe mkopo tena πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata Coast bus ni kubwa kuliko hizo vipanga boy vya blue...... Tihihi
kama bank ya kenya haijawah kununua ndege ya kq cash badala yake mumelease kutoka kwa wazunguπŸ˜€πŸ˜€
 
The unmistakable Classic Nairobi skyline and a city with character! Not like some mishmash of concrete blocks of some city we all know...πŸ˜‰πŸ˜€
Concrete nairobi haina mpinzani EA.

Hata hii picha ina prove you wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…